Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.

Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
 
Tumsikilize yupi hapa!!🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
90DB1BF2-6C18-4411-B1D1-EDF95B5C3E85.jpeg
1580DF54-AB3A-4914-91B7-9049D212C717.jpeg
 
Juha ni wale wanaoshindwa kujibu hoja za TEC, na kukimbilia kujificha kwenye uchambuzi wa mchongo TV Imaan!.
Ni mjinga tu asiye na kazi za kufanya km wewe ndo atahangaika na kijitamko chenu. Serikali ishapanga yake na mchakato waendelea
 
Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda

Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida

kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete

Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu

Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.

kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?

Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida

Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani

Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo

Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Tukumbushe kama walitoa Lissu alipopigwa risasi, tukumbushe ya Mbowe na kesi ya ugaidi, tukumbushe ya zuio haramu la mikutano ya Siasa, tukumbushe ya kubambikia watu kesi enzi zile, ukikumbuka tukumbushe ya maiti kwenye viroba, tukumbushe ya Kibiti.
 
Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda

Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida

kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete

Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu

Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.

kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?

Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida

Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani

Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo

Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
Wana kelele utadhani wana historia ya kuishinda serikali
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.

Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Huyo atatapigwa spana shoo huko huko na
 
Amen jina la Bwana libarikiwe
 
KKKT watoe waraka wao siku hiyo. 😎😎
Thubutu... Hawatakiwi kuchanganya siasa na dini.
Ila kumwaalika SSH ambaye ni kiongozi wa kisiasa kwenye shughuli ya kidini ni rukhsa!
Hivi mbona huku mtaani wenye dini ndo sisi na wenye vyama ndo hao hao akina sisi?
Mbona moto ukiungua na maji yakikorogeka na wanasiasa wakivurunda ndo tunasikia hiki kisichanganywe na kile??

#Mchanga
#Mchanganuo
#Mchanganyo
#Mchanganyiko
#Mchanganyikano
 
JAKAYA UMECHELEWA SANA .DINI NA SIASA

Wassalamu Aliukhum Mabibi na Mabwana.

Kwanza nianze kwa kumshukuru Mola wetu kwa yote mema, aliotujaalia.

Naitwa Abubakari Mtanzania toka hapa tanganyika

Kubwa lililonisukuma kuandika majibu ya hoja ya dini kwa Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete,

(1)ni kauli yake ya udini & siasa kuchanganywa
(2)Kwanini Leo jumapili
(3)anajua kilichotufikisha hapa au hakijui?

Mzee kikwete Kwanza heshima yako Baba yangu na nikupongeze Sana kwa hotuba nzuri ulipotoka Leo hii jumapili siku maalumi kwa ndugu zetu wakristo wanayokutana na kufanya Ibada kwa Mola .

~FIKRA ZANGU HURU~

Nilijiuliza Sana kwanini Mzee wangu aka wa msoga ameamua kuleta taharuki kwa kauli yake ya dini na siasa?

Na ikifuatana na Ile ya ndugu Camilius wambura inayohusu kupinduliwa kwa serikali

Naomba NImkumbushe ndugu Jakaya haya yafuatayo

(1)anafahamu taasisi za dini kuwa zinatambulika kisheria ?

(2)katika tawala zetu zote kila zinapoanza kazi pale ikulu sio lazima ila mara nyingi wamekuwa wakiwaita viongozi wa dini na kutambua uwepo wao na hiii ni kutokana na majukumu ynayofanya na dini zetu katika jamii zetu hasa kimwili na kiroho pia

Lakini pia serikali inapotaka kufanya kampeni za Amani,ama maendeleo hutumia majukwaa haya ya kidini kutimiza malengo Yao na kutaka kuungwa mkono na waamini

Sasa dini na siasa ni mambo ya ayokwenda pamoja maana hata mzungu na mwarabu walikuwa na malengo nyuma ya dini hizi walizotuletea

Ambayo kimsingi hayana tofauti na siasa na ajenda hiyo ni moja tu kukuwekea mfumo wezeshi wa kukutawala wewe kikwete na Mimi Abubakar,Peter na John

Wakishindwa kuwagawa katika siasa watawagawa kupitia dini zenu

Mzee kikwete unakumbuka kuwaona DPW wakipita misikitini na kutoa misaada hapa tanzania

Na nikajiuliza kwanini hawajaenda makanisani

Lakini kwanini wapite kutoa misaada nyakati hizi ambazo sio rafiki kwao wala kwetu tena tukiwa tunajadili mikataba ilioletwa na wao na serikali yetu?

Na walipomaliza Hilo tuliona waislam wenzetu wakitoka na kupambana na watanzania wengi wanaojitokeza kupinga issue ya mkataba wa bandari

Mzee kikwete hukusema neno ulikaa kimya Mzee wangu, watanzania pia walipiga kelele kwa serikali iwazuie DP world kupitia misikitini na kuwanunua viongozi wa dini hizi kwa hongo ndogo ndogo huku wakiwa na lengo la viongozi hao wa dini watetee Jambo ambalo ni kharam kwa mujibu wa quran tukufu..

Sasa Mzee kikwete nini kimekusibu Leo ikiwa siku ya ndugu zetu wakiristu kuabudu ndio ukaja na tamko hili kwanini usingoje?

Lakini swala la kuichanganya dini na siasa Sisi raia tumejifunza toka kwenu ninyi watawala hasa serikali yetu hii sasa kama kuanza dhambi hii basi serikali ndio imeanza na Sisi tunamalizia

Mzee kikwete nadhani kingine umeshau ni kujiuliza nini kimetufikisha hapa . Naamini unakifahamu na kama ukifahamu nikumbushe

Mzee kikwete shida ni mkataba wa hovyo ulioingiwa na serikali ya tanzania na Dubai port would (DPW) tuliousoma mkataba huu tumegindua Una shida nyingi Sana ambazo kama taifa hatupaswi kufikiria hata kidogo kuingia mkataba wa aina hii

Huku majukwaani genge lako la wanasiasa wanakuja kutudanganya na wanatulazimisha tukubaliane na uongo wao

Mzee kikwete si wewe uliondoa dubwasha la Richmond?Mzee lowasa alipokuandikia anataka kujiuzuru ukabariki sio

Sasa ni sawia na hili watanzania huku mtaani tumeusoma mkataba na HATUUTAKI

Matarajio yetu mengi yalikuwa ni kukuona wewe kikwete uje hapa na ueleze msimamo wako kwenye Hilo Sakata la bandari na sio kukaa kimya ama kujificha kwenye mgongo wa dini la hasha haitotusaidia

Tumewaona baadhi ya wataafute wenye heshima kubwa katika taifa hili wakitoa maoni Yao juu ya hili la bandari ila wewe umekaa kimya

Sasa Baba yangu kikwete nikumbushe tatua tatizo lililotufanya tujikwae na usije ukatatua tatizo la hapa tulipoangukia

Lakini mwisho nikutoe hofu Mzee wangu wa msoga NI,huku mtaani sote tunaongea lugha moja tu nayo ni KATAA MKATABA WA DUBAI PORT WORLD (DPW)

kwa swala la udini hatuna shida kabisa na Moshi uliomwaga na hawa wakiristu Leo ni Sisi pamoja na Mimi Abubakar ndio hasa tunachokitaka kifanyike na sio vinginevyo

Hawa viongozi wetu wa dini hizi tunawajua baadhi Yao wakipewa makobazi, tende ,na mafuta ya Kula huku wakinogeshwa na nyama ya ngamia basi wanatusaliti

Tunawajua vyema sauti yeti Sisi watanzania hatutaki uwekezaji kharam usio na manufaa na taifa hili

Sasa Mzee kikwete njoo tusikie maoni yako ili tuokoe lasilimali za wajukuu wa Ridhiwani,na Mimi Abubakar wakati ninyi mkiwa mmeshatuacha katika dunia hii

Asante Baba wako mwananchi
Abubakar zuberi Mlangumbulu
Tanzania
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.

Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Dr Fredrick Shoo the man who fears nobody but GOD! nenda mazeri hili jabali si mchezo lakini usije ukabwata kama Kikwete aliyejifanya kurekebisha mtumbwi uliozama kule SDA.
 
Kuna watu may be umri wao mdogo, ama wajinga au wapo kwny Propaganda

Makanisa mara zote huwa wanatoa matamko makali sana ma Rais wa Nchi wanapokuwa sio watu wa dini yao baada ya muda maisha yanaendelea kama kawaida

kwa waliopevuka kiakili baada ya uchaguzi wa 2010 may be naweza kuwajulisha kuwa Kanisa lilitembea bega kwa bega na Katibu wao wa zamani Wilbroad Slaa kuhakikisha wanamuangusha Rais Jakaya Kikwete

Walitoa Waraka nyakati za Kampeni kutaka Wakristo wote wachague Mgombea Mchamungu ( Dr Slaa) lakini kama ilivyo kawaida yetu Raia wa kawaida…tunawasikiliza Viongozi wetu wachochezi, tunawashangilia lakini ikifika wakati wa Maamuzi huwa tunaamua kwa Maslahi ya Nchi yetu

Waraka umesomwa utajadiliwa na utakuwa talk of the town kwa wiki kadhaa baada ya hapo Maisha yataendelea kama kawaida.

kama kuna Mtu ana rekodi ingependeza sana angetuwekea ma nyaraka kadhaa yanayotolewa na kanisa yaliwahi kumtisha Rais gani wa Nchi hii?

Tena kile ki Mzee Mwinyi ndio Hatare kabisa …anawasikiliza mnavyomtukana vyema sana na hata ikibidi anaweza akawaomba radhi lakini akitoka hapo anaendelea na mambo yake kama kawaida

Alimfanyia hivyo Nyerere kwny kufuta Azimio la Arusha na kuruhusu Uhuru wa watu kujieleza …kanisa nalo likamsakama sana lakini aliwaheshimu sana lakini hakuruhusu wachezee Mamlaka yake ya ki dola, the same to Mwana kijiji mwenzangu wa Msoga …tena mnakutana kwny Vikao mnampangia mikakati, kabla ya kutoa press release ya Waraka tayari yeye ana nakala kupitia Wandani wake waliopo Kanisani

Dola inazijua sana Taasisi za kidini pamoja na mapungufu yake, hayati JPM alipoanzisha heka heka ya vyeti feki na kukagua Fedha za Serikal kila eneo ikiwemo zinazokwenda kwny Taasisi za Kidini alikutana na Madudu mengi sana hadi Yule Sister Mkuu wa Idara ya Fedha na Bajeti wa pale Bugando alijirusha kutoka ghorofani na kufariki papo hapo

Wadanganyeni usafi wenu Waumini ila dola inawajua vizuri sana
This time ni tofauti kwa yaliyoko huko ni kumuomba Mungu

Narudia this time ni tofauti ni DOA( Die or Alive)

Sent from my CPH2217 using JamiiForums mobile app
 
Hatulalamiki tuna jadili

Nyie ndio Muislam akiunga Mkono Mkataba wa DP World mnamwita Mdini, Mie Mkristo akipinga Mkataba najua ni haki yake ya kikatiba halafu nafanya nae mjadala

Sasa hivi hata wale Waislam walevi na wazinzi wameelewa Siasa za TEC

TEC wamesema hawataki kabisa Muarabu apewe Bandari na Chadema wanasema hawana shida na Muarabu shida yao ni vipengele kadhaa tu vya Mkataba

Nawe Msimamo wako upi wa Chadema au Kanisa?, tuanzie hapa kwanza

Mie siukubali Mkataba wa DP World sio kwa sababu za Kimkataba mie siukubali kwa facts za kiuchumi na nina hoja zangu lakini pia sikubaliani na hoja za Kanisa za kutaka Bandari iachwe iendelee kama ilivyo

Twende kwenye mjadala sasa …napenda sana mijadala
Mmeuza mali zenu kishenzi kwa bei ya kutupa mnataka kugawa bandari kwa wajomba? Pelekeni ushenzi wenu huko!
 
Hakika hamna atakayepona kudugwa Sindano kali na nzito ya Bandari Tulia Mwansasu jana amedugwa Sindano hii kali zaidi ya Power Safe kanisani leo tutarajie Tamko la K.K.K.T mambo ni mazito mwambieni yule mkwere atulie adugwe sindano hii kali ya Bandari
20230821_083512.jpg
 
KKKT hawana msimamo hao
Hujawajua wewe, inapotokea jambo lenye maslahi mapana kwa Nchi kama ilivyo bandari sasahivi, Kanisa huungana na kuwa wamoja.

Jaribu kufatilia kilichotokea wakati ule wa JK na sakata lake la Mahakama ya Kadhi
 
Back
Top Bottom