Mie nilitaka nifanye nae mjadala nikahisi ana facts kumbe mtu wa Porojo mara Rais kala fedha mara sijui Ndege imekamatwaNdege ipo mkuu, hizo za kukamatwa ni taarifa zisizo na ukweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie nilitaka nifanye nae mjadala nikahisi ana facts kumbe mtu wa Porojo mara Rais kala fedha mara sijui Ndege imekamatwaNdege ipo mkuu, hizo za kukamatwa ni taarifa zisizo na ukweli.
Wasaliti kwani walikubaliana wote wakatae uwekezaji ?Kkkt wasaliti nyie.
Hapo asitarajie kusikia kuungwa mkono suala la bandari maana shoo hamumunyi maneno anakupa live .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Wale hawatoagi shoo huwa anakupa live hapo hapoKKKT watoe waraka wao siku hiyo. [emoji41][emoji41]
Akakazie hapa Kwa TECRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805poo
wamempa nafasi ya kwenda kutoa tamko walau la kuachana na mkataba huo. walutheran nao kama hawatamuonya, nitashangaa sana.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Vita bado mbichi sana😄Imeisha hiyoo
Mkuu hili swala tulipaswa tuungane kuishinikiza serikali itangulize maslah ya nchi.tuache ushabiki kwenye mambo ya msingiMerhodius Kilaini alivyolamba Mgao wa Escrow alichukuliwa hatua gani ?
Au Rushwa sio kosa kwa kina Kilaini? Issue ya Msingi sio Msimamo ni maadili
kkkt mmesaliti haki mnafungamana na mafisadi...Wasaliti kwani walikubaliana wote wakatae uwekezaji ?
hao kkt wanasubir sa100 akimalza tu jambo lao, na wao wanaachia waraka wenye mlengo wa tecRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
Hata kimaadili kanisa Katoliki linajitahidi sana. Bahati nzuri sisi wengine ni wadau katika ukatoliki na KKKT hivyo tunajua mwenye afadhali ni yupi. KKKT sasahivi wamehama kuihubiri injili bali wanautumia injili kukamua waumini hela. Pia ninasema Katoliki wanajitahidi sana na wapo committed katika mambo mengi ndio maana hata shule zao nyingi za sekondari kila mtu anataka kupeleka mtoto wake, tofauti na shule za KKKT mfano ile ya Morogoro Junior Seminary na nyingine ambazo zipo level moja tu na shule za kata.Merhodius Kilaini alivyolamba Mgao wa Escrow alichukuliwa hatua gani ?
Au Rushwa sio kosa kwa kina Kilaini? Issue ya Msingi sio Msimamo ni maadili
Siku hiyo awaambie dpw bandari yetu waachane nayo maana wenye mali wamekatalia.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.
Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo
View attachment 2722805
TEC Ni mahakama tosha, waende mahakamani ktafuta nini?TEC Kama Wana hoja si waende mahakamani
KKKT hawana msimamo haoImeisha kitu gani?
Mamako mwenyewe hapo hajiamini, anajua anaweza kuondoka hapo, nyuma jamaa wanatoa tamko lao na kupinga ule mkataba wa hovyo wa bandari...