Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

Lazima itapigwa nyundo moja
 
Hongera mama Samia, nenda tu, hata TEC wakikualika mkutano wao wa kilio chao cha bandari kupewa Waislam wewe nenda tu.

Wacha wabwabwaje na wahororoje weeee, wewe kaa kimya tu, utawajibu kwa vitendo, "Action speaks louder than words".
 
Ampige spana hapo hapo
 
Unamjua Father Nkwera!!??
 
si alilipwa kwa kazi hiyo na Wana Mtandao ?
Kikwete alibebwa na maaskofu 2005 kuelekea magigoni. Nilikua miongoni mwa wanamtandao ninajua fika jinsi kanisa katoliki lilivyoshiriki mchakato ule mpaka kupelekeq Askofu Kilaini kubaki na doa....

Hakuna mkatoliki mwenye shida na uislamu wa rais Samia bali huyo mtu ni dhaifu na ni hatari sana kwa ustawi wa nchi.
 
Kikwete aliitwa chaguo la Mungu na kanisa, Si ndiyo?

Mama Samia ni chaguo kweli la Mungu, bila kuitwa na yeyote.
 
Kikwete aliitwa chaguo la Mungu na kanisa, Si ndiyo?

Mama Samia ni chaguo kweli la Mungu, bila kuitwa na yeyote.
Umemsikia Askofu Shoo juu ya mchango wa Kanisa katika kupambana kufutiwa madeni kwa nchi? Umesikia kuhusu serikali kuyapa makanisa ruzuku?
 
Sasa mzee huyu nae asiseme kijinga. Anasema eti serikali iendelee kuwape pesa kwa kuwa wao walifanya kampeni Tanzania ikafutwa madeni.

Sasa kanisa linangoja thawabu kutoka serikalini?


Hapana, sasa hivi hamtowi huduma bure na wala hazihitajiki tena.

PPP eti wameanzisha KkKT. Huyu zmee kachanganyikiwa. Asome "investopedia" atapa history ya PPP ilianzia wapi. Akamsome mtu anaitwa Tajudin Ahmad ataona alipewa na nani hilo wazo akalianzosha nchini mwake kabla ya yeyote.

Hivi hawa watu wa Kaskazini mbona waongo waongo sana?
 
Hivi unajua Ilboru ilikua mali ya kanisa la Lutheran
Hilo siyo jipya, makanisa yalihodhi elimu yote, ndivyo maana ya kurusedi iliyoletwa na wazungu.

Upo forodhani unauliza baharini wapi?

Unanchekesha.
 
Sio kwa hili..limekaa tenge sana. Labda kama ni ajenda ya kueneza dini flani.
Kaskazini tena
 
sisi waislamu mnatuchangaya sasa, hatujui tufanye nini.

tuwajibu kwanza wakatoliki kupitia ule walaka wao au tuvute subira kusubiri tamko la KKKT then tutoe kauli za jumla jumla?.
Mkataba hamkuandikiwa waislamu, wameandikiwa Serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…