Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
My take;
Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!
Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!
Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?
Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Inafikirisha!