Rais Samia: Mifumo imeanza kuchezewa na kuonesha makasha yamelipiwa na kuruhusiwa kutolewa Bandarini

Ni utopolo kuwa na taasisi inayoyumba akikosekana mtu mmoja tu, Tanzania ina maelfu ya watu wazalendo mahiri wanaoweza kuendesha bandari, huyo Kanko wako sio Alfa na Omega wa bandari.
Narudia tena Kakonko aliiweza bandari, hadi leo najiuliza ilikuwaje Mh. Rais alimfuta kazi yule mzee…

Ila ngoja tuone mambo yatakavyokuwa, huko bandari naskia upigaji umerudi kwa kasi sana…
 
"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.

My take;

Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!

Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!

Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!

Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?

Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?

Inafikirisha!
Rais anatafuta huruma ya wanyonge baada ya kuvurunda, tusimuamini
 
Upigaji alishauruhusu muda mrefu asitafute mchawi hapo anawajibu wa kujibebesha lawama yeye mwenyewe kwa kusikiliza majungu huku akichezeshewa shere
 
Katiba inatupeleka shimoni huku tunajiona
Shithole country
 
"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.

My take;

Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!

Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!

Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!

Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?

Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?

Inafikirisha!
Kidata alipigwa chini yeye kamrudisha...
Aendelee kurembua sio kutafuta mchawi...
 
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake

Mbadilishe huyu kamishna wa TRA haraka iwezekanavyo badala ya kulalama, kabla mabaya zaidi hayajafanyika!!!
 
Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?

Inafikirisha!
Mambo ya ajabu sana haya. Rais na yeye analialia kama laywoman flani hivi..
 
Rais anahitaji msaada kwa watendaji wake, tatizo lilipoanza ni pale kuwaondoa baadhi ya watendaji wa Awamu ya 5 bila kufanya uchunguzi wa kina.
Bandarini Mkurugenzi kamtea yeye sijui aliletewa memo maana yake anashindwa kusimamia majukumu yake au mtu aliyemfanyia mchakato wa kupata kazi kuwa Mkurugenzi ndio mizigo yao inapitishwa bila kulipa kodi
 
We lima pareto, sisi kipaumbele chetu ni kumfunga Mbowe. Hayo mengine sio muhimu.
 
"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.

My take;

Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!

Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!

Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!

Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?

Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?

Inafikirisha!
Tupo awamu fulani ya kiongozi mwenye takukuru ,polis ,jeshi, magereza ,mgambo , anakuja mbele ya wananchi kupiga mayowe, anaenwambia waziri husika kuwa akishindwa ndo aje kwake kusema .alituahidi kalamu sijui zineisha winooooo au RIP chuma cha pua .tunakukumbuka hasa Kwa hatua.
 
Ukimya kama wa wale waliokwapua lundo la pesa BOT wakati JiWE yuko mahututi kwa kusingizia wanakwenda kumnunulia dawa!!!
Mkuu, ninachokumbuka Madam SSH aliunda tume chini ya CAG kuchunguza matumizi ya faranga kuanzia mwezi wa 3; na baada ya taarifa hapakua na yeyote kwenye nyumba ya kutunza mafaranga aliechukuliwa hatua. Hiyo hoja ya jamaa kuvuta ili kwenda duka la madawa ina mashiko kweli?

Na paymaster general hajapugwa, ila kahamishwa wizara; alikuwa waziri wa kikoba ndie VP na gavana bado yupo kazini. Kama mafaranga yalivutwa, hawa watu wangekuwa bado kazini kweli?
 
Back
Top Bottom