Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Tulitegemea atupe mrejesho kawachukulia hatua gani hao walioharibu sasa yeye anakuja kulalamika kama sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea point mkuu.anaogopa nn!?, au wale wanao remote maisha ya jumba letu pendwa ndo wanampiga Sasa!!na Hana namna !!Full kulalamika kila siku wakati taarifa anazo kinacho mshinda kuchukua hatua ni kitu gani ?
Huyu mama hajajua anasimamia nini, na hajajua kama yeye ni mkuu wa nchi."...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
Mkuu andika kwa kirefu unaonekana unajuaHawa si waliwaondoa makampuni binafsi kuwa mawakala wa meli na wakaanza kufanya clearing agency wenyewe na kukagua mizigi wenyewe (tallying) kupitia TASAC? kama kila kitu anafanya wenyewe, analalamika anaibiwa nini? Walifikiri wanaoiba ni makampuni binafsi ndio maana wakayaondoa, matokeo yake wameifanya bandari imekuwa very expensive wenye meli zao wanashindwa kuleta meli, tunaiua bandari kimya kimya bila kujua in long run tutakuja kulia.
Biashara sasa ni soko huria, hawezi kulazimisha mtu awe handled na government agency tu, badilisheni sheria zenu za kibabe kwanza zilizowaondoa kampuni binafsi, hao ndio wanaotafuta biashara na kuzileta, msidhani hizo meli zinajileta zenyewe
Kipindi wanamshauri amtoe kakonko alikuwa wapi, hakujua kuwa wanamzunguka, aache kutuona ss wendawazmu tusiojielewa,ye aseme tu wamezinguana na genge lake, Sasa amebaki kutulalamikia kwa air!! Nonsense (in her voice)Narudia tena Kakonko aliiweza bandari, hadi leo najiuliza ilikuwaje Mh. Rais alimfuta kazi yule mzee…
Ila ngoja tuone mambo yatakavyokuwa, huko bandari naskia upigaji umerudi kwa kasi sana…
Rais wangu jamani! Mbona analalamika? Si atumbue tu! Akiendelea kuwalegezea hawa majizi tutaanbulia mabua!!"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
My take;
Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!
Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!
Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?
Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Inafikirisha!
Full kulalamika kila siku wakati taarifa anazo kinacho mshinda kuchukua hatua ni kitu gani ?
"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
My take;
Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!
Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!
Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?
Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Inafikirisha!
Moyo umeniuma sana. Naumia sana. Wakati wengine wakiendelea kufanya kazi kwa uadilifu kumbe bado kuna majizi bado yapo serikalini yanaendelea kuiba! Chukua hatua kali sana mama Samia ili watu wakuheshimu. Hata ikibidi azisuke upya hizo taasisi. ( TISS, TAKUKURU, POLISI) Naona bado kuna Sabato masalia hayafanyi kazi kwa weledi.Vyombo vyetu vya Sheria vingekuwa vinakimbizana na wezi kama vinavyokimbizana na upinzani hii Nchi ingekuwa mbali sana, wapo tayari Mbowe aende jela kwa gharama yoyote ile lakini sio majizi na mafisadi yakomeshwe, kumsikia Mh. Rais analalamika kwenye majukwaa ilihali TISS, TAKUKURU, JESHI LA POLISI na MAHAKAMA vyote vipo chini yake, kwakweli ni aibu kubwa sana.
Na ambaye anamzunguka mama ni mtendaji wake mkuu wa shughuli za kiserikali, maana anajua vilivyo msimamo wa Kakonko.kipindi wanamshauri amtoe kakonko alikuwa wapi,hakujua kuwa wanamzunguka,aache kutuona ss wendawazmu tusiojielewa,ye aseme tu wamezinguana na genge lake ,Sasa amebaki kutulalamikia kwa air!! nonsense (in her voice)
Unafikiri walikuwa wanampenda kwa kutaka atawale milele, unafiki tena grade AAjabu sana Rais analalamika kama sisi watu wa kawaida badala atueleze kuwa wanaofanya hivyo ameshawatumbua na hela haziibiwi tena. Naamini kuwa Magufuli alizungukwa na wanafiq wengi sana.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app