Rais Samia: Mifumo imeanza kuchezewa na kuonesha makasha yamelipiwa na kuruhusiwa kutolewa Bandarini

Vyombo vyetu vya Sheria vingekuwa vinakimbizana na wezi kama vinavyokimbizana na upinzani hii Nchi ingekuwa mbali sana, wapo tayari Mbowe aende jela kwa gharama yoyote ile lakini sio majizi na mafisadi yakomeshwe, kumsikia Mh. Rais analalamika kwenye majukwaa ilihali TISS, TAKUKURU, JESHI LA POLISI na MAHAKAMA vyote vipo chini yake, kwakweli ni aibu kubwa sana.
 
"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
Huyu mama hajajua anasimamia nini, na hajajua kama yeye ni mkuu wa nchi.
Kama kuna watu walihalibu huko nyuma awakamate atupe lupanga mahakma ndo itaamua lakini kujitetea yeye hatutki.
 
Mkuu andika kwa kirefu unaonekana unajua
 
Narudia tena Kakonko aliiweza bandari, hadi leo najiuliza ilikuwaje Mh. Rais alimfuta kazi yule mzee…

Ila ngoja tuone mambo yatakavyokuwa, huko bandari naskia upigaji umerudi kwa kasi sana…
Kipindi wanamshauri amtoe kakonko alikuwa wapi, hakujua kuwa wanamzunguka, aache kutuona ss wendawazmu tusiojielewa,ye aseme tu wamezinguana na genge lake, Sasa amebaki kutulalamikia kwa air!! Nonsense (in her voice)
 
Mbona kazi nyepesi watumie wakina Kingai na Godluck+Mahita kudhibiti huo ujambazi

Samia nakukumbusha C.A.G kachere allishakupa ripoti ya ukaguzi wa benki kuu na rpoti hiyo ilikuwa ya kipindi Mzee yupo ICU mpaka kufariki

Sasa ripoti ulipewa na C.A.G mbona kimya?
 
Rais wangu jamani! Mbona analalamika? Si atumbue tu! Akiendelea kuwalegezea hawa majizi tutaanbulia mabua!!
 

Mhe. Rais SSH kavunja bodi ila boss wa PTA kabaki, so far bodi haifanya utendaji wa siku wa siku isipokuwa management iliyo chini ya DG wa PTA ndio bila shaka ikawa inahusika kwa namna moja au nyingine na upigwaji ambao umefanywa.

Kwanini boss wa bandari ambae bila shaka watendaji wa chini yake ndio wana mkono na upigwaji/kuchezewa mifumo bado wako ofisini?
 
Moyo umeniuma sana. Naumia sana. Wakati wengine wakiendelea kufanya kazi kwa uadilifu kumbe bado kuna majizi bado yapo serikalini yanaendelea kuiba! Chukua hatua kali sana mama Samia ili watu wakuheshimu. Hata ikibidi azisuke upya hizo taasisi. ( TISS, TAKUKURU, POLISI) Naona bado kuna Sabato masalia hayafanyi kazi kwa weledi.
 
kipindi wanamshauri amtoe kakonko alikuwa wapi,hakujua kuwa wanamzunguka,aache kutuona ss wendawazmu tusiojielewa,ye aseme tu wamezinguana na genge lake ,Sasa amebaki kutulalamikia kwa air!! nonsense (in her voice)
Na ambaye anamzunguka mama ni mtendaji wake mkuu wa shughuli za kiserikali, maana anajua vilivyo msimamo wa Kakonko.
 
Dah!! Viongozi wa nchi yetu wana matatizo makubwa,CAG alitoa taarifa ya ukaguzi wake,ikaonyesha ubadhirifu mkubwa sana wa mali ya umma,bunge likakaa vikao na kulipana posho kujadili upotevu wa fedha za umma,lakini mwisho hawakuja na maazimio yeyote juu ya ubadhirifu huo,wakati huo wao wameshalamba per day za vikao vya kujadili ubadhilifu inachechekesha na kuumiza sana.
Leo Mh Rais analalamika kuwa kuna ubadhirifu unaendelea!!mashikolo haya!!mkuu wa nchi unalalamika wakati taarifa zote unazo,vyombo vyote vya uchunguzi na ulinzi viko chini yako,na yeye ndio mamlaka ya uteuzi! Taarifa ya CAG alikabidhiwa wala hakuna hatua alizochukua,sasa malalamiko yake ni ya nini? Au ni kupumbaza wadanganyika!!

Ccm imechoka na aina mfumo wa kuisimamia serikali yao,na bunge limebaki kuisifia serikali,halijui wajibu wake,na wananchi tumelala uzingizi wa pono,wengine wako wanabeti,wengine wako wanakunywa kahawa wakibishana habari za Simba na yanga,wengine wanajadili ngono na upuuzi wa ushoga,wengine wako wanajadili kati ya kiba na diamond nani ana kiuno laini!! Nchi ya abunuasi hii hakuna maendeleo CCM italeta mpaka kiama.
 
Wanajaribu kupima kina Cha mto kwa mguu,Samia ondoka nao wote wanaokujaribu,wananchi wanamatumaini makubwa juu ya serikali yako.


Huna budi kuonesha kuwa unao uwezo wa kupambana na wale wote wanao kujaribu
 
Rais mzugaji asiyeweza kuchukua hatua.

Full kujiliza kimama mama!
 
Ajabu sana Rais analalamika kama sisi watu wa kawaida badala atueleze kuwa wanaofanya hivyo ameshawatumbua na hela haziibiwi tena. Naamini kuwa Magufuli alizungukwa na wanafiq wengi sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unafikiri walikuwa wanampenda kwa kutaka atawale milele, unafiki tena grade A
 
Uwezo na nguvu zake zinaishia kuawaamuru poliCCM kuumiza na kutesa CHADEMA.
MIJIZI na MIJAMBAZI ya CCM wenzie kibibi hiki kinabaki kurembua macho na kubana sauti.

Katiba mpya ni lazima na ni sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…