Narudia tena Kakonko aliiweza bandari, hadi leo najiuliza ilikuwaje Mh. Rais alimfuta kazi yule mzee…
Ila ngoja tuone mambo yatakavyokuwa, huko bandari naskia upigaji umerudi kwa kasi sana…
Rais anatafuta huruma ya wanyonge baada ya kuvurunda, tusimuamini"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
My take;
Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!
Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!
Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?
Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Inafikirisha!
Upigaji alishauruhusu muda mrefu asitafute mchawi hapo anawajibu wa kujibebesha lawama yeye mwenyewe kwa kusikiliza majungu huku akichezeshewa shere"...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
My take;
Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!
Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!
Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?
Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Inafikirisha!
Hapo ndipo tutakapomkumbuka JPMFull kulalamika kila siku wakati taarifa anazo kinacho mshinda kuchukua hatua ni kitu gani ?
Acha kumpangia mtu mzima mwenzako ww bata mzingaKumbe nguvu zako ni za kumtia MBOWE tu gerezani majizi na mafisadi yamekushinda na unayaogopa.
Umeshindwa kazi step down
simple, endelea focus na kilimo cha pyrethrum...Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Sawa. Tukana tusi jingine roho yako ifurahiAcha kumpangia mtu mzima mwenzako ww bata mzinga
Kidata alipigwa chini yeye kamrudisha..."...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
My take;
Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!
Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!
Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?
Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Inafikirisha!
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake
Ukimya kama wa wale waliokwapua lundo la pesa BOT wakati JiWE yuko mahututi kwa kusingizia wanakwenda kumnunulia dawa!!!Naona ni kama kuna ukimya!
Mambo ya ajabu sana haya. Rais na yeye analialia kama laywoman flani hivi..Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Inafikirisha!
Tupo awamu fulani ya kiongozi mwenye takukuru ,polis ,jeshi, magereza ,mgambo , anakuja mbele ya wananchi kupiga mayowe, anaenwambia waziri husika kuwa akishindwa ndo aje kwake kusema .alituahidi kalamu sijui zineisha winooooo au RIP chuma cha pua .tunakukumbuka hasa Kwa hatua."...ninazo taarifa za hivi karibuni wafanyakazi wasio waaminifu wamechezea mifumo na kuonyesha mizigo imelipiwa Bandarini na kuruhusiwa kuondolewa ilhali malipo hayajafanyika." Amesema Rais Samia.
My take;
Je, ni rasmi upigaji umerejea kwa kasi namna ile?!
Je, wenye dhamana za uongozi katika taasisi husika hawapaswi kuwajibishwa kwalo?!
Watendaji walio chini ya mkurugenzi wa Bandari wanachezea mifumo na yeye yupo ofisini wa kazi gani?!
Kamishina wa TRA bado yupo ofisini kwa sifa zipi kama ubadhirifu wa kuchezewa mifumo namna ile unafanywa na vijana wake?
Rais analalamikia ilhali yeye ndiye mwenye uwezo wa kuchukua hatua je mimi mlima pareto huku polini nifanyeje?
Inafikirisha!
Mkuu, ninachokumbuka Madam SSH aliunda tume chini ya CAG kuchunguza matumizi ya faranga kuanzia mwezi wa 3; na baada ya taarifa hapakua na yeyote kwenye nyumba ya kutunza mafaranga aliechukuliwa hatua. Hiyo hoja ya jamaa kuvuta ili kwenda duka la madawa ina mashiko kweli?Ukimya kama wa wale waliokwapua lundo la pesa BOT wakati JiWE yuko mahututi kwa kusingizia wanakwenda kumnunulia dawa!!!
Ndio hivyo raisi anatoa wachapakazi anawaingiza majizi tenaNarudia tena Kakonko aliiweza bandari, hadi leo najiuliza ilikuwaje Mh. Rais alimfuta kazi yule mzee…
Ila ngoja tuone mambo yatakavyokuwa, huko bandari naskia upigaji umerudi kwa kasi sana…