Rais Samia: Mifumo imeanza kuchezewa na kuonesha makasha yamelipiwa na kuruhusiwa kutolewa Bandarini

Yaani huyu bibi daaah, yaani hapo aliposema hapo kwenye hiyo hazara ndo amemaliza !!,hakuna hatua yeyote atakayochukua!!. ukweli ni kwamba ,tunayemuona kwa macho sie ,Ila aliyefichama ndiye!!
 
Suala muhimu ni kuchukua hatua stahiki. Wahusika ama watuhumiwa wanapaswa kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi. Wizi wa namna hiyo siku zote huwa ni wa kimfumo kwa kuwa unahusisha watu wengi wenye mamlaka ya kuridhia na kuidhinisha hatua moja ifanyike kabla ya kwenda kwenye nyingine inayofuata.

Kwa mantiki hiyo ni kuondoa ama kubalisha vituo wote waliohusika katika hatua mbalimbali za kuyatoa hayo makasha yenye kashfa bandarini. Serikali ni lazima I ya kwamba; "Ukicheka na utavuna mabua"

Badala ya serikali kuhangaika na kutumia vyombo vya dola kuthibiti viongozi wa vyama vya upinzani kwa hofu ya kung'olewa madarakani, itumie vyombo hivyo kuthibiti wizi uliokubuhu serikali.
 
Full kulalamika kila siku wakati taarifa anazo kinacho mshinda kuchukua hatua ni kitu gani ?
Huyo ni mpumbavu na hiyo ndiyo sifa za wapumbavu ,unalalamika maji ayafunguliwi wakati funguo za kufungulia maji umezishika wewe[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…