Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Umeshatanguliza "negativities" na majibu yako....Kuna kiongozi gani mwema kutoka CCM? Mtaje hata mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeshatanguliza "negativities" na majibu yako....Kuna kiongozi gani mwema kutoka CCM? Mtaje hata mmoja
Kama ukifika Znz anacho kisema na uhalisia haviendeni kabisa. Yani Mwalim Nyerere aliwahi kusema hakuna nchi inaitwa Znz nakama wanabisha wajitenge. Ndipo watagunduwa kuna waunguja na wapemba na hawa hawafanani na hata ukienda utaliona hilo... Well ni haki kuzungumza. Mdomo mali yake.Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Kumfuata ahera ni kuomba kufa iweje unaniombea kuafa mkuu😄Kamfate huko ahera
Huelewi. Kuna kabila la Mzanzibar? Rais kaua ukabila wewe unasema mbaguzi.Huyu bibi ni mbaguzi balaa
Siyo kweli ni msukuma!Basi Samia ni mmakonde
..Maza anatuhumiwa kupendelea Waznz.
..katikati ya manung'uniko hayo Maza anasema yeye ni Mzanzibari!!
..Na Mznz kutokuwa na kabila haimaanisha kwamba hawezi kuonea kabila fulani.
Lakini hata kwenye huo uislamu unatambua kiongozi mwanamke?
Mzanzibari ni utaifa wako, hivyo inaonyesha ulivyo,wewe siyo Rais wa wazanzibari bali Rais wa watanzania. Ilikuwa sahihi Rais ukasema ni Mtanzania. Hapo utakuwa unaendeleza uzanzibari na utangamanyika. Rais wangu siku nyingine rekebishaRais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Kwani kuna mtu anakataa ?Mtamsema sana mh.Rais ila ndio mjue yeye ndiye RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI YA ULINZI......
ENDELEENI kuufukuza upepo......
#NchiKwanza
#KaziInaendelea kwa Kasi &Weledi zaidi
Kama watumia simu janja wako zaidi ya 30M, unawezaje kusema watumia mitandao ni 10% tu ya watanzania...?Naona mama ana jaribu kuwajibu sana watu wa mitandao, mi nadhani ange wapotezea hawafiki hata 10% ya watanzania
Sasa uta jibu kila kitu, maana wanao comment hujui hata wako kwenye hali gani. Kwa mfano hiyo ya sukuma gang huku kitaa hakuna hata mtu ana time nayo sasa viki pata airtime kwa raisi vina weza leta madharaKama watumia simu janja wako zaidi ya 30M, unawezaje kusema watumia mitandao ni 10% tu ya watanzania...?
Na hebu tuashumu kweli ni 10%. Je, unajua nguvu (influence) ya watumia mitandao...?
Ukitaka kujua kuwa social media ina nguvu, fanya kituko hapo ulipo kwa kutembea uchi. Nakuhakikishia in just a minute, dunia zima [siyo Tanzania tu] itakuwa imeshajua...!!
Don't underestimate the power of social media hata kama ni 10% [japo takwimu yako hii ni uongo] ya population ya 60M ndiyo watumia simu na computer zenye access to internet...!!
Nilitegemea jibu hili, na ninakubaliana nawe; lakini hiyo haiondoi msingi wa hoja kuu. Yeye anajitambulisha kuwa mtu wa nchi nyingine! Why?Kwa akili yako zanzibar utailinganisha na mikoa iliyomo Tanzania!!! Hamuoni aibu kuongea haya!!! Zanzibar tangu lini imekuwa mkoa ndani ya Tanzania!!!! Muungano uliopo ndiyo unakutisha!!!! Tangu mama ashike nchi mnaongea sana,,,,
Mama piga kazi wasikubabaishe hawa wa2,,,wewe ni mzanzibari 2naekuamini na mtenda haki, na tumefurahia kuliongoza nchi lenye wa2 wengi wacojitambua,,,,,
Nilitegemea jibu hili, na ninakubaliana nawe; lakini hiyo haiondoi msingi wa hoja kuu. Yeye anajitambulisha kuwa mtu wa nchi nyingine! Why?
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!"
Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani.
Samia umekosea sana!
====
Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana kwa maeneo...
Kwenye system ya makuzi – shule na siasa – tunamshukuru sana Baba wa Taifa Mwl. Nyerere. Kwahiyo, tunapofanya kazi hapa, na mimi binafsi, ninafanya kazi bila kuangalia kabila fulani.
Sasa watu wakifanya makosa, “nimewajibishwa kwakuwa ni kabila Fulani”. Sina kabila. Mimi hapa ukiniuliza kabila lako nani nitakwambia ni Mzanzibari.
Mkuu 'Dalmine', huyu mama anapoteza fursa muhimu sana anazopewa kujipambanua yeye kuwa kiongozi ambaye nchi hii ingemtambua na kumkumbuka katika historia yake.Lakini mkuu,,bila ya kujitambulisha c inajulikana yeye ni mzanzibari!! Haya yote hayasaidii muhimu aliongoze taifa kwenye mctari, ndicho 2nachotaka.
Inaweza kuwa asilimia ndogo lakini yenye ushawishi mkubwa,ndio maana serikali inalazimika kuzima mitandao,katika kipindi cha uchaguzi mkuu.Naona mama ana jaribu kuwajibu sana watu wa mitandao, mi nadhani ange wapotezea hawafiki hata 10% ya watanzania