Kimbakuli
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 408
- 435
Kweli😭😭Unauliza swali au jibu!! MAMA!! Mbona na aliyetangulia alijichukulia ujiko kwenye ile Flyover ya Tazara na lile daraja la Mto. Kilombero?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli😭😭Unauliza swali au jibu!! MAMA!! Mbona na aliyetangulia alijichukulia ujiko kwenye ile Flyover ya Tazara na lile daraja la Mto. Kilombero?
Both of themNajaribu kutafakari jinsi ambavyo marehemu alivyojisifu kwa kujenga miundombinu mingi, hata ile aliyoikuta ipo mwishoni kukamilika yeye akamalizia asilimia 5% wapambe waliimba na kusifu kwamba kajenga yeye.
Sasa kuna miradi na yeye kaacha haijakamilika mingine ndo kwaanza ipo asilimia 0% kama daraja la busisi.
Ikikamilika tusifu na kuimba mapambio kwa mwendazake km kawa au?
Kwani linajengwa kwa kodi za wananchi au hela za mfukoni mwa hao uliowataja?
😄Hatari sanaHuko jamaa anachezea tu vitasa muda huu
Anataka kuweka rekodi sawa
😄Hatari sana
Hv hilo bomba wanasaini mara ngapiTarehe 14 mwezi huu wanaenda kusaini Tanga
Kataja miradi miwili tu ya kimkakati ambayo ni SGR na Bwawa la Umeme. Usimuongezee maneno please
Daraja mbadala tayari soon wanalimaliza Jana nimepita busisi kwa gari
Bujibuji, umetisha sana Mkuu! [emoji3][emoji23][emoji1787]Huko jamaa anachezea tu vitasa muda huu
Rais Samia amehawakikishia watanzania kuwa miradi yote aliyoacha Hayati Rais Magufuli lazima itekelezwe na kumalizwa kwa sababu ni urithi wa watanzania na tukiitelekeza tutaambulia laana kutoka kwa Mungu na kutoka kwa aliyeanzisha hiyo miradi.
Rais Samia - Rais Dkt. John Magufuli ametuachia urithi, ametuachia miradi mikubwa miwili, na mwingine wa mkakati ipo, ule ni urithi, na wanasema ukifanya mchezo kwenye urithi Mungu anakulaani au yule aliyekuachia urithi hana radhi na wewe na Mungu hatukuwa na wewe
Bwawa la Nyerere, SGR ,Uwanja wa Msalato, daraja la Kigongo Busisi lazima ikamilike.
---
Najaribu kutafakari jinsi ambavyo marehemu alivyojisifu kwa kujenga miundombinu mingi, hata ile aliyoikuta ipo mwishoni kukamilika yeye akamalizia asilimia 5% wapambe waliimba na kusifu kwamba kajenga yeye.
Sasa kuna miradi na yeye kaacha haijakamilika mingine ndo kwaanza ipo asilimia 0% kama daraja la busisi.
Ikikamilika tusifu na kuimba mapambio kwa mwendazake km kawa au?
Huko jamaa anachezea tu vitasa muda huu