Rais Samia: Miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli ni urithi wetu

Both of them
 
Anataka kuweka rekodi sawa

Anayetoa hela ndiye anayejenga. Hao wengine wanakuwa ni watendaji ama ambao wameajiriwa kutekeleza majukumu kwa ajili ya tajiri (mlipa kodi).

Wanasiasa wametengeneza mazingira ya kutufanya tuone kama wanatupa favor kutekeleza majukumu yao.
 
Ni kweli ila kuitekeleza anatakiwa awe na tabia kama za alieianzisha.
 
Kataja miradi miwili tu ya kimkakati ambayo ni SGR na Bwawa la Umeme. Usimuongezee maneno please

Alisema “miradi mikubwa miwili na ile miradi ya kimkakati” na yes aliitaja uwanja wa Msalato,unataka kubisha nini sasa,uzuri pale Kigongo kazi inaendelea tena usiku na mchana.
 

Mkuu vipi kuhusu haya:

1. Urasimu uliokuwapo mama anasema je?
2. Upigaji mkubwa wa pesa uliokuwapo mama anasema je?
3. Ugonjwa wa Corona uliopo mama anasema je?
4. Kuhusu wawekezaji na umuhimu wao mama anasema je?
5. Kuhusu mashirikiano na mataifa mengine mama anasema je?
6. Kuhusiana na kodi za dhuluma mama anasema je?
7. Nk, nk. Tango mengi lukuki.

Hiiiiii
 

Alikua anajigamba pia kuwa daraja la kigambon kajenga yeye,Ili hali yeye kaenda kuzindua tuh
 
Ile miradi ya Chato hakuitaja mbona, Stadium, Chuo kikuu na mahospitali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…