Hakuna mwanaccm anayeweza kujibu swali hilo,wanafahamu fika jinsi walivyopora viwanja vya michezo,vya wazi,majengo ya ofisi kuanzia vijijini,kata,wilaya,mikoani hadi taifa na raslimali nyingine nyingi.Ukitaka kufahamu kuwa hawana uwezo wa kujenga nenda Tabora uone uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Stadium.Umebakia na utabakia kama ulivyokuwa kabla ya mfumo wa vyama vingi,hakuna uendelezaji.Viwanja vya michezo ccm wameviteka. Vilitakiwa viwe viwanja vya serikali maana vilijengwa wakati wa mfumo wa chama kimoja na vilijengwa na serikali.
Kama wana ubavu wa kujenga mbona hawajajenga kiwanja chochote tokea mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa miaka 30 iliyopita
Hivi CCM wanaweza kukamilisha project gani bila wizi?Juzi tu wamekopa fedha za WB kwa jina la COVID 19 Relieve,wakaapishana zisiliwe.Matokeo yake kuna wanaccm wamekula nje ya urefu wa kamba zao na wanaunda tume kwa kutumia fedha hizo hizo za mikopo.
They are totally incapable and helplessly incompitent.