Rais Samia: Mishahara ya wafanyakazi wa CCM imepanda kwa 84% kwa watumishi wa chini na 25% kwa wale wa juu. TOT nao mishahara juu

Rais Samia: Mishahara ya wafanyakazi wa CCM imepanda kwa 84% kwa watumishi wa chini na 25% kwa wale wa juu. TOT nao mishahara juu

Viwanja vya michezo ccm wameviteka. Vilitakiwa viwe viwanja vya serikali maana vilijengwa wakati wa mfumo wa chama kimoja na vilijengwa na serikali.

Kama wana ubavu wa kujenga mbona hawajajenga kiwanja chochote tokea mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa miaka 30 iliyopita
Hakuna mwanaccm anayeweza kujibu swali hilo,wanafahamu fika jinsi walivyopora viwanja vya michezo,vya wazi,majengo ya ofisi kuanzia vijijini,kata,wilaya,mikoani hadi taifa na raslimali nyingine nyingi.Ukitaka kufahamu kuwa hawana uwezo wa kujenga nenda Tabora uone uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Stadium.Umebakia na utabakia kama ulivyokuwa kabla ya mfumo wa vyama vingi,hakuna uendelezaji.
Hivi CCM wanaweza kukamilisha project gani bila wizi?Juzi tu wamekopa fedha za WB kwa jina la COVID 19 Relieve,wakaapishana zisiliwe.Matokeo yake kuna wanaccm wamekula nje ya urefu wa kamba zao na wanaunda tume kwa kutumia fedha hizo hizo za mikopo.
They are totally incapable and helplessly incompitent.
 
Mwenyekiti wa CCM mh Samia Suluhu Hassan ambaye pia ndio Rais wa JMT amesema mishahara ya watumishi wa CCM imeongezeka kwa kuanzia 25% kwa watumishi wa ngazi za juu hadi 84% kwa watumishi wa ngazi za chini.

Hali kadhalika wasanii wa TOT sasa wameajiriwa rasmi na CCM, amesema Mh mwenyekiti.

Chanzo: ITV

Nawatakia Sabato njema!
Kwaiyo wanywa supu ya bendera ya sisiem ndo wanapandishiwa mishahara Ila wafanyakazi wa uma wanaosota kusongesha huduma za jamii nchini hawana hadhi ya kuongezewa mishahara kwakuwa hawana chama, ni wanachama wa vyama vingine vua siasa. This is fucked up
 
Mishahara ya wafanyakazi wa CCM hii hapa: {Kwa mwezi}
1. Mwenyekiti wa CCM wilaya analipwa Tsh 40,000/=
2. Katibu wa CCM wilaya analipwa Tsh500,000:=
3. Katibu wa CCM kata analipwa Tsh 10,000/=
4. Katibu wa CCM tawi analiwa Tsh 5,000/=
sikweli,,katibu wa wilaya anaoata 1.5 million kwa mwezi take hom3..ila wanamrupurupu
 
Back
Top Bottom