Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwako ww muda sahihi ni upiBw. Salary Slip tufike mahala tuwe wa kweli. Chadema hapa mlikosea kuutambua muda muafaka wa hili jambo.
Acha ujinga muda wanini tangu Uhuru tunamiaka mingapi kama Taifa na hatusogei Kisha unaleta blah blah za mudaNjia aliyoitumia Mbowe haikuwa muafaka wa kutoa kauli kama zile. Rais alionyesha kuwa licha ya kwamba alikuwa ni msaidizi wa aliyepita lakini kuna mambo alikuwa hafurahishwi nayo kwa kuwa mamlaka hakuwa nayo ilibaki kuwa kama ilivyokuwa ijapokuwa CCM bado ni CCM.
Kawatoa watu magerezani na kuwafutia kesi wakiwemo wapinzani. Wafanyabiashara ile task force iliyokuwa ikitumika kuchukua kodi ameivunja vunja na mengineyo tofauti tofauti. Ubabe wa viongozi kwa kiasi fulani umepungua na Uhuru kwa kiasi chake umerudi.
Sasa ni nini kilichomfanya Mbowe na Chadema kutoa kauli kali za namna ile? Kisa kuambiwa nipeni muda? Kwa nchi yetu ilivyokuwa ilikuwa inahitaji kushtuka Rais aliposema nipeni muda?
Hawakusoma alama za nyakatiYaani aiseee, mie nilipoona ile hotuba aliyoitoa Mama njiani Morogoro na kuwaonya wananchi kwamba' wasijejikuta wakaingizwa mkenge'.. basi nikajuwa tu yale matazamio chanya aliyowapa mwanzoni, sasa kibao kimegeuka na inabidi wawe wapole tu....... kazi iendelee.
Usikute rais hata hajui Kama mwenyekiti wenu yuko ndan yy yuko busy na eidOf course, LAZIMA atakuwa na baraka za rais directly or indirectly! Lau kama asingekuwa na hizo baraka, hivi sasa ingekuwa ameshatoa agizo la watu wao kuachiwa mara moja!!
Ninachoona haya ni maagizo ya rais moja kwa moja! Na hata kama rais hakuagiza moja kwa moja, kufumbia macho matendo ya kishenzi kama hayainakuwa anatoa ujumbe kwa polisi kwamba waendelee kukamata raia wasio na hatia!
Na hapa kuna tatizo lingine... insecurity!!
Kwa kawaida, baadhi ya wanawake wakipata madaraka huwa wanasumbuliwa sana na hili suala! Katika hili, baadhi yao, tena kwa wingi tu hudhani jambo fulani linafanywa dhidi ya mamlaka yao kwa sababu wanaofanya wanamdharau kwa kumuona yeye ni mwanamke tu!!
Mtu anapokuwa na mawazo mabovu kama hayo, mara nyingi hufanya maamuzi ya ovyo kama defensive mechanism ya kutaka ku-prove "she's tough"!
Sijui ni lini Mwenyezi Mungu atatuondolea Janga la CCM na Watu wake!!!
Kwa hiyo corona inabagua?kusanyiko likiwa LA ccm hakuna corona....TUMIA AKILI,ACHA KUTUMIA MAKALIOChadema ni kama mtoto wa mwisho yani anadeka deka tuuu kutwa kulia lia tuuuu dah alafu mwanaume ndo wanalia zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbowe anatangaza kuwa kuna Corona then yeye mwenyewe ndo anataka kukusanya watu
Nimependa sana utulivu wa watu wa Mwanza, wapo busy na mambo yao wanaendelea na shughuli zao na ratiba zao za Sikukuu, kujitafutia Riziki na wengine wapo wanakunywa Bia! Watu wa Mwanza wamechagua Amani, utulivu na usalama wa Taifa lao Mama Tanzania!
Binafsi huwa najiuliza Chadema wana lengo gani hasa na Harakati zao hizi za Siasa. Huwa nawaza mambo mawili, Aidha wanafanya siasa zao kwa lengo la kuwaridhisha watu fulani ambao wanawafadhili ili waendelee kuwapa fedha au Hawajui watanzania ni watu wa namna gani inapokuja suala la Siasa.Vuguvugu hili lipo kwenye mitandao ya simu ambao hao ni makada. Ukija mtaani raia hawana habari na hili mnalolipigania kwenye mitandao na Chama kama Chama.
Unadhani tatizo ni nini?
Mabadiliko ya katiba hayazuiliki. CCM inajinajisi bure.
Sawa kabisa mkuu.Chama Cha Mapinduzi Ni kioga Sana.
CCM wakisikia neno katiba mpya wanakonda Sana kwa mawazo.
Wanajua fika katiba mpya itaweka usawa wa kila kitu.
Na CCM usawa wa kila kitu ndo hawataki kwa sababu siku zote huwa wanaingia madarakani kwa unyang'anyi.
Mfano Ni huu uchaguzi uliopita.
Wakiruhusu katiba mpya maana yake wameruhusu tume yenye usawa,na tume yenye usawa maana yake CCM kwa heri.
Hofu imewatawala hawana namna nyingine Ni kuzuia mikutano ya kudai katiba mpya.
CCM Ni waoga Sana,pamoja na kuwatumia TISS JW PT na wengine kama hawa lakini hawajiamini.
CCM Ni waoga na waongo,wanajinasibu kuwa wanashindaga kwa kishindo maana yake wanapendwa.Sasa kama wanapendwa wanaogopa Nini kuruhusu kelele za hao wanaoitwa wachache ili waendelee kuwashinda na wakose Cha kusema?
Wajisifu kuwa waliomba katiba mpya tumewapa na uchaguzi tumewashinda.wanaogopa Nini sasa?
CCM Ni waoga sana,kwa hofu hii ya kudai katiba mpya,presha zikizidi mnaweza kuwakuta CCM wote wamekufa kwa usiku mmoja tu.
Ni waoga hatari.
Kama mtaani raia hawana habari, sasa hao police wa nini?Vuguvugu hili lipo kwenye mitandao ya simu ambao hao ni makada. Ukija mtaani raia hawana habari na hili mnalolipigania kwenye mitandao na Chama kama Chama.
Unadhani tatizo ni nini?
Hivi kwako tafsiri ya "raia mitaani" ni ipi? Hao wanaoingia kwenye hizo kumbi hawatoki mitaani wanatoka wapi Mkuu?Vuguvugu hili lipo kwenye mitandao ya simu ambao hao ni makada. Ukija mtaani raia hawana habari na hili mnalolipigania kwenye mitandao na Chama kama Chama.
Unadhani tatizo ni nini?
Wakati sahihi wa kudai katiba ya wananchi ni lini?Kutambua jambo sahihi kwa wakati sahihi!
Serikali haifanyi kwa kuigopa Chadema ukiliangalia hili suala kwa mapana yake. Serikali inafanya kutokana na kauli ya CHADEMA, nayo Serikali imeamua iwatunishie msuli.Kama mtaani raia hawana habari, sasa hao police wa nini?
Si wangewaacha CDM wakutane, waongee then warudi makwao.
Maana wanainchi hawana habari.
Sasa Police na Serikali wana hofu gani na kongamano la Katiba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hammnazo jitambulishe kwanza wewe ni taifa gani?Bw. Salary Slip tufike mahala tuwe wa kweli. Chadema hapa mlikosea kuutambua muda muafaka wa hili jambo.
тебе нужно научиться манерамHammnazo jitambulishe kwanza wewe ni taifa gani?
Kule kwenye vitaтебе нужно научиться манерам