Nimekutana na Clip ya Mheshimiwa Rais ikielekeza watanzania kutii na kuacha miradi ya serikali ipite kwenye maeneo yao na ikishakamilika ndo wadai fidia.
Nimejaribu kujiuliza hivi Rais amewaza nini kutoa agizo lile? Mradi umepita kwenye eneo langu, nyumbani kwangu nyumba inavunjwa mimi niondoke na familia bila fidia nikaishi wapi?
Kisa ni mradi kwa faida ya wananchi, nadhani pengine ingekuwa kwa faida yangu na familia yangu hapo ingekuwa sawa ningesema ngoja nivumilie nikisubiri (ROI0)
Lakini kwa faida ya watnzania alafu baadhi ya familia ndo zinaumia hii hapana hebu serikali iwe na huruma kidogo. Mtu pengine ni mstaafu nyumba inavunjwa na unatakiwa upishe mradi uishe, DUH
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wanaoidai Serikali fidia baada ya kupitiwa na miradi, wasubiri miradi hiyo ikamilike kwanza, kisha utaratibu utafanyika kuhakikisha wanalipwa.
Kinachosababisha uamuzi huo, amesema ni umuhimu wa miradi hiyo kwa wananchi, hivyo Serikali inaona ianze kuitekeleza kwanza kwa manufaa ya wengi, ndipo ichakate utaratibu wa fidia.
Mkuu huyo wa nchi ameibua hoja hiyo baada ya malalamiko ya wananchi wa wilaya mbalimbali mkoani Morogoro kudai malipo ya fidia baada ya kupitiwa na mradi wa umeme wa Kihansi.
Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 alipohutubia wananchi wa Wilaya ya Ifakara mkoani Morogoro, ikiwa ni sehemu ya ratiba ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.
“Wale wanaotudai fidia zao kwa maendeleo yao wenyewe tunaomba muwe na subira. Tuacheni tumalize miradi ya maendeleo, wananchi wengi wafaidike halafu tutaangalia masuala ya fidia,” amesema.
Katika maelezo yake, amegusia uwepo wa baadhi ya watu wanaoweka vikwazo vya utekelezwaji wa miradi husika kwa sababu hawajalipwa fidia.
“Tuacheni tufanye miradi, mambo ya fidia mimi nawahakikishieni hatonyimwa mtu haki yake. Tukiwa tayari tutalipa fidia, kwa hiyo niwaombe sana wananchi achieni miradi ijengwe kwa manufaa yenu, fidia itakuja kulipwa,” amesema.
Kwamba Serikali inajenga kwa hela za kudunduliza, sasa mwananchi wake ataweza kujenga kwa mkupuo wakati anasubiri fidia? Hivi alifikiri kabla ya kuongea!

Rais Samia ajitafakari upya! Wananchi tunajenga nyumba kwa miaka kadhaa na kwa fedha za kudunduliza tena kwa kujinyima sana! Yeye ameachia mchwa wanakula fedha za kodi zetu kwa urefu wa kamba zao!
Kwa kauli hii, ni wazi kabisa kwamba Rais amevunja Katiba ya nchi hii ya Tanzania ambayo yeye mwenyewe kwa kinywa chake ameapa kwamba Ataitetea na Kuilinda.
Suala la Umiliki wa Mali lina Ulinzi katika Katiba ya nchi pamoja na kwenye Sheria zingine za nchi hii.
KAMWE, Mali ya mtu haiwezi kutwaliwa bila ya mhusika Mmiliki wa Mali kulipwa Fidia yake kwanza.
Kufanya hivyo ni kuvunja Katiba ya nchi hii ya Tanzania ya Mwaka 1978 pamoja na marejeo yake.
Aidha, Sheria za nchi hii zilizopo zinasisitiza kwamba "Any Compensation for the loss of Property must be FULLY, FAIR and PROMPTLY.
Muhimu sana kuzingatia:-
Promptly Compensation maana yake ni Fidia ya upotevu wa Mali ambayo imelipwa ndani ya miezi Sita tu baada ya zoezi la Uthamini wa Mali za Mfidiwa kufanyika, wala siyo zaidi ya miezi sita.
Nimekutana na Clip ya Mheshimiwa Rais ikielekeza watanzania kutii na kuacha miradi ya serikali ipite kwenye maeneo yao na ikishakamilika ndo wadai fidia.
Nimejaribu kujiuliza hivi Rais amewaza nini kutoa agizo lile? Mradi umepita kwenye eneo langu, nyumbani kwangu nyumba inavunjwa mimi niondoke na familia bila fidia nikaishi wapi?
Kisa ni mradi kwa faida ya wananchi, nadhani pengine ingekuwa kwa faida yangu na familia yangu hapo ingekuwa sawa ningesema ngoja nivumilie nikisubiri (ROI0)
Lakini kwa faida ya watnzania alafu baadhi ya familia ndo zinaumia hii hapana hebu serikali iwe na huruma kidogo. Mtu pengine ni mstaafu nyumba inavunjwa na unatakiwa upishe mradi uishe, DUH
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wanaoidai Serikali fidia baada ya kupitiwa na miradi, wasubiri miradi hiyo ikamilike kwanza, kisha utaratibu utafanyika kuhakikisha wanalipwa.
Kinachosababisha uamuzi huo, amesema ni umuhimu wa miradi hiyo kwa wananchi, hivyo Serikali inaona ianze kuitekeleza kwanza kwa manufaa ya wengi, ndipo ichakate utaratibu wa fidia.
Mkuu huyo wa nchi ameibua hoja hiyo baada ya malalamiko ya wananchi wa wilaya mbalimbali mkoani Morogoro kudai malipo ya fidia baada ya kupitiwa na mradi wa umeme wa Kihansi.
Rais Samia amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 alipohutubia wananchi wa Wilaya ya Ifakara mkoani Morogoro, ikiwa ni sehemu ya ratiba ya ziara yake ya siku sita mkoani humo.
“Wale wanaotudai fidia zao kwa maendeleo yao wenyewe tunaomba muwe na subira. Tuacheni tumalize miradi ya maendeleo, wananchi wengi wafaidike halafu tutaangalia masuala ya fidia,” amesema.
Katika maelezo yake, amegusia uwepo wa baadhi ya watu wanaoweka vikwazo vya utekelezwaji wa miradi husika kwa sababu hawajalipwa fidia.
“Tuacheni tufanye miradi, mambo ya fidia mimi nawahakikishieni hatonyimwa mtu haki yake. Tukiwa tayari tutalipa fidia, kwa hiyo niwaombe sana wananchi achieni miradi ijengwe kwa manufaa yenu, fidia itakuja kulipwa,” amesema.
Walivyopiga marufuku Mikutano ya vyama vya siasa mlikuwa mnacheka mnaona ni sawa.sasa mmeguswa kwenye maslahi yenu,mnawaka! Siasa ni ajira na maisha ya watu pia.

Sidhani kama anashauriwa vibaya, Mimi naona kama tatizo analo yeye mwenyewe Rais kwa kutokuzingatia mambo madogo madogo ambayo ni ya msingi Sana kwenye maisha na uhai wa binadamu (Wananchi wake).
Unataka kusema kwamba huyo Rais kweli hajui UMUHIMU wa mtu kumiliki Mali ambayo inamwingizia kipato mtu huyo pamoja na suala la Mali hiyo kubeba 'livelihood' ya Mmiliki wake??? Sidhani!