Pre GE2025 Rais Samia: Mnaotudai fidia kuweni na subira tumalize miradi ya maendeleo kwanza ndipo tuwalipe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wao yao yawaendee, halafu sisi tulale nje..

Kuna sehemu kama taifa tulikosea haya ni matokeo yake.

Kwanza kwa miradi ipi, hii hii inayosua sua, mradi unaanza 2017 mpaka 2024 kukamilika bado inapigwa pigwa kalenda tu.

Hizi ni dharau kwa wadai.
Hili linaumiza wananchi wote,CCM na Akina Chadema. fidia!
 
Usilazimishe nifikirie kile unachofikiria wewe, lakini jitahidi kutoishi kwa mazoea na kufuata trending, jaribu kuwa mtu unayejipa muda kutafakari kabla ya kucomment na kushare.
Acha sindano ikuingie Vizuri dawa,Wewe nani kwangu mpaka unipangie Cha kuongea
 
Na maeneo Yao msianze kuyajenga Hadi muwalipe fidia.
 
AKIFA?

AKIPOTEZA DOCUMENT ZAKE?

UNAMVUNJIA NYUMBA ILI AKAISHI WAPI NA WATOTO WAKE?

Ila nampongeza ili kusudi watu wawe wengi wanaharakati wa kweli.Ikifika uchaguzi wafanye kweli
 
Utahakikishaje mtu hadhulumiwi huku ukiwa tayari ni mstaafu?🤣
 
Nafuu Samia anatambua kuwa kuna stahiki za wanaobomolewa na Serikali inapaswa kulipa.

Yule mnayemwita shujaa wenu wa Chato alibomoa nyumba za wakazi wa Kimara- Kibamba bila kulipa na bila kuogopa zuio la Mahakama.
 
Huu ni unyama mkubwa! Tumeichoka CCM.
 
Nafuu Samia anatambua kuwa kuna stahiki za wanaobomolewa na Serikali inapaswa kulipa.

Yule mnayemwita shujaa wenu wa Chato alibomoa nyumba za wakazi wa Kimara- Kibamba bila kulipa na bila kuogopa zuio la Mahakama.
Ukiwa na akili timamu unatakiwa uelewe approach ni tofauti tu ila dhamira ni ile ile. Yule aliongea dhahiri kuwa halipi sababu waliokuwepo walishalipwaga kitu ambacho ni ukweli. Huyu wa sasa kaamua kuwapooza tu raia ila uhalisia ni kwamba mtadai fidia zenu hadi muote mvi🤣
 
Siku wakilipwa ukumbuke kuja kuthibitisha nani ana akili timamu kati ya mimi na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…