ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Sasa na wewe Iringa si ni Kijiji au Kuna jipya gani pale?Afadhari ameshituka ,yaani Moro iwe jiji kabla ya iringa inawezekanaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa na wewe Iringa si ni Kijiji au Kuna jipya gani pale?Afadhari ameshituka ,yaani Moro iwe jiji kabla ya iringa inawezekanaje
Kahama hama mji pale? Mji umejaa mashimo ya vyoo kila kona hata sawage system hakuna halafu unataka uwe jiji? Kweli?Morogoro Bado kuwa jiji.
Nadhani Bora hata kahama(Shinyanga)
Kuwa na heshima kwa IringaSasa na wewe Iringa si ni Kijiji au Kuna jipya gani pale?
hupajui mkuuSasa na wewe Iringa si ni Kijiji au Kuna jipya gani pale?
Sijui kwa Mbeya ila Tanga inastahili...Mbeya na Tanga ni vigezo Gani vilitumika vikawa JIJI?
Iringa ni Kijiji tena kimepauka hakina hata mzunguko wa hela wa maana,watu wachache nk.Kuwa na heshima kwa Iringa
Tanga inastahiki Kwa kigezo gani hasa? Maana vigezo Vikuu Tanga haijna eg idadi ndogo ya watu,Mapato kidogo ya Jiji nkSijui kwa Mbeya ila Tanga inastahili...
Sipajui nyumbani? Yaani Mimi mwenyewe mhehe wa Ilula nisipajue tena?hupajui mkuu
Naunga mkono hoja.Wanaotaka Kahama iwe Jiji ukiwaukiza kwa kipi hasa hakuna anaekuja na jawabu 😆😆Kahama hama mji pale? Mji umejaa mashimo ya vyoo kila kona hata sawage system hakuna halafu unataka uwe jiji? Kweli?
kumbe, ILULa ipi nimekaa miaka 7 paleSipajui nyumbani? Yaani Mimi mwenyewe mhehe wa Ilula nisipajue tena?
Rais wa JMT amekataa ombi la kuipandisha hadhi Manispaa ya Morogoro Kuwa Jiji kama ambavyo mamlaka zimekuwa zikiomba akisema Morogoro Bado sana kufikia hadhi hiyo na kuwataka watimize wajibu wao.
---
Mbunge wa viti maalum Christine Ishengoma amewasilisha ombi la kutaka Halmashauri ya mji wa Morogoro ibadilishwe na kuwa jiji kama ilivyo kwa majiji mengine ya Dar es salaam na Arusha hata hivyo Rais amesema kuwa maombi yote yamepokelewa na yatafanyiwa kazi isipokuwa hili la Morogoro kuwa jiji ambapo amewaambia wana Morogoro wafanye kazi kwanza kuipa Morogoro hadhi kisha serikali itatenda wajibu wake.
"Kwa vipimo tulivyoviweka suala la Morogoro kuwa jiji bado kwahiyo kazi iko kwenu. Kuna kazi ya kufanya waziri wa Tamisemi atatoa ufafanuzi nini cha kufanya ili Morogoro iweze kuwa jiji lakini kwa sasa bado kwahiyo timizeni wajibu wenu na serikali tuje tutimize wajibu wetu". Alisema Rais Samia
Mwanahalisi
My Take
Naunga mkono hoja:Hakuna kulipa Hadhi ya Jiji Manispaa Yeyote ambayo ina Mapato ya ndani Chini ya Bilioni 15.
Sifa ya Jiji wanatakiwa wajitosheleze Kwa mapato ya Ndani walau 40% ya Bajeti Yao.
Pia soma RC Malima: Kama Morogoro mnataka kuwa Jiji acheni uchafu na ongezeni makusanyo ya Nndani
Kwa kuzingatia vigezo vya kimataifa vya kuainisha mji kuwa jiji, nchini Tanzania hakuna hata mji mmoja ambao umekidhi vigezo hivyo vya kuweza kuitwa jiji. Hakuna kabisa.Bongo bwana, kila mkoa unataka kua jiji, ni vituko.
Kiukweli haya ya kwetu sio majini, ni vijiji vilivyochangamka.
Kwa hiyo Morogoro iwe jiji kama Capetown ama New York, ama London? Tuwe tunaita New York City, Morogoro City?
Morogoro iwe jiji kama Paris?
Tuna masihara sana. Hadhi ya neno jiji tunaidhalilisha sana.
Kijijini Mtuakumbe, ILULa ipi nimekaa miaka 7 pale
Acha uongo,kwamba hata Dar sio Jiji? By the way Kila Nchi Ina vigezo vyake Kwa sababu zake.Kwa kuzingatia vigezo vya kimataifa vya kuainisha mji kuwa jiji, nchini Tanzania hakuna hata mji mmoja ambao umekidhi vigezo hivyo vya kuweza kuitwa jiji. Hakuna kabisa.
Yohanisi ,ras shed ,NYERERE unawafahamuKijijini Mtua
Shida sijakulia huko naenda kusalimia na kusepa ila huyo Nyerere ndio namfahamuYohanisi ,ras shed ,NYERERE unawafahamu
Ndiyo, hata Dsm pia haijakidhi vigezo vya kimataifa vya kuweza kuwa Jiji.Acha uongo,kwamba hata Dar sio Jiji? By the way Kila Nchi Ina vigezo vyake Kwa sababu zake.
Sasa hivyo sio vigezo vya msingi saanaNdiyo, hata Dsm pia haijakidhi vigezo vya kimataifa vya kuweza kuwa Jiji.
Yaani haijakidhi kabisa.
Kwa Mfano, Ukichukua kigezo kimoja tu Cha kupangilika kwa mji, pamoja na kupangilika kwa miundombinu yake ya Makazi, usafiri na usafirishaji, n.k, tayari mji huo unakuwa ume-disqualify kwa takribani asilimia 90 ya kuweza kuwa Jiji, achilia mbali na vigezo vingine vingi ambavyo sijavigusia hapa.
Hivyo vigezo vya msingi Sana unavyovifahamu wewe ni vipi hivyo?????Sasa hivyo sio vigezo vya msingi saana
Idadi ya watu ndio jambo la kwanza na pili Nguvu ya Uchumi/MapatoHivyo vigezo vya msingi Sana unavyovifahamu wewe ni vipi hivyo?????
Tupe darasa sisi wenzako