masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Alipokuwa anakula ugali yeye alikuwa anasifia utamu wa ma VIETE tu!Ndugu macho kwenye ugali mwache polepole atumie haki yake ya msingi kukosoa na kuhoji
Mbona nimetoa ufafanuzi kama kada niliyeelewa.Raisi atolee ufafanuzi kauli yake , kw sababu ni wiki ya pili sasa hyo kauli imeleta utata na hakuna aliyeisemea ,
Wewe huna mandate ya kuelezea kauli ya Rais, kauli yake inafafanuliwa na msemaji wa Ikulu au w serikali, au yeye mwenyewe Raisi, who are you?Mbona nimetoa ufafanuzi kama kada niliyeelewa.
Sasa ninyi wenye mioyo ya kuwa na the worst possible interpretation ndio mna matatizo.
Ingawa naelewa kwa dhati kabisa Polepole ni mnafiki aliyetukuka lakini hii haki yake ya kutoa maoni haiwezi kupokwa kwa namna yeyote kwani ni haki ya kikatiba na ndivyo CCM ilivyowajenga vijana wake kuwa na fikra tunduizi pasina kusahau kuhoji hojaji zenye hoja.View attachment 2102588
Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma...
Polepole ni mbunge wa kuteuliwa ila hajateuliwa na SamiaView attachment 2102588
Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma...
Kama Mtoa mada anamuomba huyu jamaa anaye pambana na nyati kwa staili hii, basi atakuwa anapoteza tu muda wake.πππ
View attachment 2102625