Rais Samia mpige chini Humphrey Polepole, ni jipu!

Rais Samia mpige chini Humphrey Polepole, ni jipu!

Polepole sio role model wangu,lakini I appreciate his views and intelligence.

Tatizo ni kwamba wana CCM wengi ni wachumia tumbo,who climbed the ladder of leadership kiharamia using illicit means and money.Kwa hiyo anybody against their ways ni adui.Kiukweli kwa mtu intelligent and truthful,CCM is not the place to be.I wish Magufuli was around to clean the mess.Ni upigaji tu uliotawala.Mambo haramu haramu tu ndiyo wanayopendezwa nayo,aibu sana.
You are dreaming!
Beutuful dreams za political gangsters unao wahusudu.
Uliza kwa waliokuwa karibu na Magufuli, 1.5 trillion zilienda wapi.
Na uwe mkweli kwenye nafsi yako kwa majibu utakayopata, we were dealing with criminals!
Role model wako, Polepole, kakupa lifti kwenye Vieite la chama.
Si bure.
I insist the guy is a hypocritical moron.
 
You are dreaming!
Butuful dreams za political gangsters unsowahusudu.
Uliza kwa waliokuwa karibu na Magufuli, 1.5 trillion zilienda wapi.
Na uwe mkweli kwenye nafsi yako kwa majibu utakayopata, we were dealing with criminals!
Role model wako, Polepole, kakupa lifti kwenye Vieite la chama. Si bure.
I insist the guy is a hypocritical moron.
The intelligent with morals know what CCM stands for.
 
Soma thread yote , utaelewa tu!
Hujaongea kitu hapa masopakyindi,wewe umelishwa upepo,come back to your senses.This 👇is the nonsense you wrote!

"Wakati sisi wana CCM tulielewa vyema maana ya Rsis kuwaasa mawaziri wake kutoingiliana kimamlaka na utendaji alipoongea na baraza lake la mawaziri, kwa uwazi, wengine wameamua kumwekea Mama Samia maneno mdomoni, kwa maana hasi na isiyostahili utumishi wa umma.

Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Rais Samia amekuwa akimnanga Mama Samia kila apatapo nafasi hiyo, na kumpinga Mama waziwazi.

Mimi mmoja wa tulioukubali, kuupokea na kuunga mkono utawala wa Awamu ya Sita, naona huyu Polepole ni msaliti, apigwe chini.

Polepole, kama Ndugai wana mipango ambayo haiko wazi.

Wakae nje ya uongozi ili mambo yao wakayasuke vizuri."
 
Okay Polepole aliteuliwa na mwendazake, which makes it worse.
Polepole ana kua backed na mtu ambaye ana tuhuma za blood in his hands!
And you have the audacity to call it nonsense!

Nami nasema, Pole pole ulikuwa umekula na kuvimbiwa na sijui ulijisahau kuwa yuko CCM?
Maana badala ya kutetea wananchi waliokuwa wakiteswa . wakibambikwa kesi, wengine wamefia lupango kama mzee Shamte.
Yeye alisifia utamu na raha,walizozipata.
Halafu unakuja kwa kujamba jamba kuita hayo yote yalikuwa nonsense.
Sasa mkuu ulitaka mpaka mama yako atekwe ndo uone gravity of the matter?
 
Unapoteza muda kuongea na huyo kipofu…haoni na hajui alipo na kwanini yupo…save your energy

Mwalimu alituambia upumbavu ni kipaji
Leo nawaokota wengi mliokuwa mnakula kodi za wanaumwe wenzenu!
 
Back
Top Bottom