GE2025 Rais Samia: Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, nachokozwa sana ila sichokozeki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kumbe mama anachokozwa sana, naye achokozeki! Ni likuwa silijuwi hilo
====================
“Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, bibi yenu, dada yenu; nikichokozwa msichokozeki. Niwaombe sana mtunze amani na utulivu. Tumejipanga vyema, kwa hiyo hakutakuwa na pepe wala pepe,” amesema Rais Samia katika mkutano wa kampeni Uwanja wa Gombani, wilayani Chake chake, kisiwani Pemba.

View attachment 3476780
Kama amani ni muhimu kama huyu chuuura anavyotaka kutuaminisha, mbona wao waliishaivunja zamani? Kuna amani gani ya maana bila haki na uwajibikaji Tanzania?
 
Asiyechokozeka hanangi, anagugumia maisha yanaendelea
 
Uchawi mda mwengine sio kwenda comoro
 
Back
Top Bottom