hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Kiongozi yeyote yule kutoka zanzibar hawezi kuwa na uchungu na Tanganyika ndo maana huyu mama hutawahi kumsikia akizungumzia ufisadi
Watanganyika tubaki na nchi yetu na watu wetu ,mtu kutoka bara haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar iweje sisi wakija huku wanapata kila kitu
Kila mtu afe na chake
Watanganyika tubaki na nchi yetu na watu wetu ,mtu kutoka bara haruhusiwi kumiliki ardhi zanzibar iweje sisi wakija huku wanapata kila kitu
Kila mtu afe na chake