Kumbe mama anachokozwa sana, naye achokozeki! Ni likuwa silijuwi hilo
====================
“Msivunje amani sababu ya uchaguzi. Kuweni kama mimi, mama yenu, bibi yenu, dada yenu;
nikichokozwa msichokozeki. Niwaombe sana mtunze amani na utulivu.
Tumejipanga vyema, kwa hiyo hakutakuwa na pepe wala pepe,” amesema Rais Samia katika mkutano wa kampeni Uwanja wa Gombani, wilayani Chake chake, kisiwani Pemba.
View attachment 3476780