Rais Samia, Mteue ACP Theopista Mallya awe Mkuu wa Trafiki Nchini, asante kwa kumteua Kaganda

Pale Mlimani city na njia ya Makongo wanakaa Traffic wawili wanaitwa MARTIN na VICENT wale jamaa wanapenda sana rushwa na kubambikiza watu makosa.

Narudia tena wale jamaa ni wala rushwa wabaya sana.
Huyo Vicent mwanzoni alikua anakaa pale mataa ya ubalozi wa ufaransa baada ya Hamza kufanya yake akakimbilia pale mataa ya ITV, mlimani na makongo.

Ingependeza sana wahamishiwe maporini huko wakacheze na ngedere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…