Kwa hiyo watu wengine walipe kodi yeye asilipe?Sasa mkuu MBNA Inaonekana Kama Wew imekuuma Sana shida nn, Fanya kazi zako acha maisha ya watu utaishi vzuri mambo ya umbea umbea Achana nazo unadhan wahusika hawajui?
Kama anafanya biashara halali asisumbuliwe. Kuna watu huko nyuma hata biashara hawakuwa nazo ila walisumbua watu
Sema wewe unayeyajua.Mbona ya joseph huyasemi?
Watoto wa Nyerere hutawasikia wakisemwa kwa mambo kama haya.Mtoto gani au kiongozi gani nchi hii anayeishi kinyonge
Afrika mambo haya kawaida tu
Ova
Unamjuwa binti mrembo mtoto wa aliyekuwa Rais wa Angola Does Santos?
huyu atakuwa ni mshindani wake kwenye biashara,na kinamsumbua ni wivu na hizi taarifa ni za kuambiwaInaonyesha jinsi gani unafuatilia nyendo za binadamu mwenzako hatua kwa hatua, kama binadamu tunalakujifunza kutoka kwako, "kumbe wapo binadamu kazi yao kuu ni kuhangaika na maisha ya wengine"
Unazungumzia nchi ipi huko nje??
Ikiwa Trump ana kesi nyingi za kukwepa kodi unataka kutuambia nini??
Kwa ukwepaji kodi huu , ni baada ya muda mfupi tu atakuwa amefungua "Home Shopping Centre" nyingine.Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Hajaanza kufeli leo. Ana comment fulani hadi huwa najiuliza kwa nini huyu jamaa anafeli wapi!?Kuna wakati unapwaya sana mkuu.
Hoja sio ukubwa wa biashara bali kulichafua jina la mama yake kwa kutohwshimu sheria
Hao ni washindani kibiashara, wanashindana, possibly mtoa mada yupo duka la hayo matairi, Don't judge as if kama issue ni taarifa sahihi kwa 100%.Kwa ukwepaji kodi huu , ni baada ya muda mfupi tu atakuwa amefungua "Home Shopping Centre" nyingine.
Utajiri wa kukwepa kodi hauna tofauti na ujambazi.
Muhimu alipe kodi tu,mengine ni ya kwako binafsiYaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Anatakiwa awe jela kama akina sabaya ni mhujumu uchumiAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.