DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Nilidhani hii nchi ukishakua na access ya moja kwa moja na amiri mkuu wa majeshi(blood line kama mtoto) unakuwa target ya usalama wa taifa. Yaani huwezi fanya tu kila kitu unavyojisikia na kujichanganya popote kama huyo muuza tairi sababu lolote ufanyalo lina access ya moja kwa moja na raisi na unaweza kutumika pia kuaffect utendaji wake. Anyway, naamin ataacha hiyo tabia kama ni kweli.
 
Sasa mkuu MBNA Inaonekana Kama Wew imekuuma Sana shida nn, Fanya kazi zako acha maisha ya watu utaishi vzuri mambo ya umbea umbea Achana nazo unadhan wahusika hawajui?
Kwa hiyo watu wengine walipe kodi yeye asilipe?

Huu upumbavu ndiyo unakera ile hari ya kulipa kodi kwa hiyari inapotea

Next time na mimi silipe kama mbwai iwe mbwai
Lazima nikwepe tuu
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Kwa ukwepaji kodi huu , ni baada ya muda mfupi tu atakuwa amefungua "Home Shopping Centre" nyingine.

Utajiri wa kukwepa kodi hauna tofauti na ujambazi.
 
The thing with power ni Kuwa, It wont be always there, Leo Familia yote ya Founding Father wa Kenya tena yenye Rais wa Nne pia wa Taifa hilo ina lia lia Kuhusu mambo ya Ku Evade tax, Ilikuwa too special kiasi kwamba ikawa Exempted kulipa kodi, Siafikia izi allegations kwa vile nimesikiliza upande mmoja ila tupatapo Power tujifunze Kufata Taratibu
 
Tatizo ni kuwa TRA Huwa wanahangaika na Mzigo badala ya documents.Kwanini wasingenyoka na hao wachina waliouza matairi bila risiti kwanza?Tayari umejiridhisha Mzigo Haina risiti na muuzaji umemjua ni kampuni na umesharekodi ushahidi kwanini uendelee kuyaweka matairi kwenye godauni lako?.Kama wangedeal na wachina waliouza Wala stori za mtoto wa Rais hazingekuwapo.Pengine Kuna watoto wa watu wa kawaida zaidi ya 200 nao wameuziwa hayo matairi bila risiti na wachina.Ukinyoka na mchina hakutakuwa na simu Toka Juu.Pia na hao TRA Huwa wanapiga mikwanja kutokana na hiyo mizigo na hawatoi risiti ya wanachopokea kiujanjaunja .Hivyo Kila mtu mwizi tu
 
Kwa ukwepaji kodi huu , ni baada ya muda mfupi tu atakuwa amefungua "Home Shopping Centre" nyingine.

Utajiri wa kukwepa kodi hauna tofauti na ujambazi.
Hao ni washindani kibiashara, wanashindana, possibly mtoa mada yupo duka la hayo matairi, Don't judge as if kama issue ni taarifa sahihi kwa 100%.
 
A
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Anatakiwa awe jela kama akina sabaya ni mhujumu uchumi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom