Ningeshangaa kama usingelitetea 😂😂😂😂😂wachache huwa wanajua wewe una tetea nini!Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Umeuhaibisha ukoo wako kwa hii comment yakoDaah Wabongo bhana mtu anajiuzia matairi yake mnaandika andika humu njoo Johannesburg uone watu wananunua makontena na makontena ya matairi ishu ya invoice unakutana nayo mpakani huko na SARS sio ndani huko ndani ni polisi kujua labda huu mzigo ni wizi au laa hivyo vikaratasi mnavyofatilia kwa box moja au mbili ni Umasikini tuu huo...ndio maana vitu vingi vipo bei juu na bandari tunayo hao wanaoweza kushusha hapo kwa usumbufu huo wanajiuzia bei yeyote..
Makampuni ya TV na mashine za kuoshea nguo kila mwezi wanashindana kutoa brand mpya ila bongo hivyo vitu bado ni hatari kwa sababu ya Ujinga huo au Microwave...
Wasiokua na bandari ndio wananufaika na bandari yetu ninyi kutwa na TRA yenu kudumaza matumizi ya vitu bora kwa Wananchi hakuna asietaka kulipa kodi punguzeni usumbufu ili hata wageni waache kwenda kununua bidhaa Nairobi Nchi iwe na mzunguko kama huko kwa wenzetu..
Kwahiyo asilipe Kodi? Mbona watanzania wapumbavu hivi!?? Unafaham madhara ya Kila mtu akikwepa kodi? Hili jukwaa la jforum limekuwa la kitoto sanaSasa mkuu MBNA Inaonekana Kama Wew imekuuma Sana shida nn, Fanya kazi zako acha maisha ya watu utaishi vzuri mambo ya umbea umbea Achana nazo unadhan wahusika hawajui?
Issue hapa ni kumlipa Kodi jamani !! Hivi mlisoma wapi wenzetu!?mbona vichwa vizitoYaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Wewe ni mshamba Sana ila hijijui tuuuWabongo mnaroho mbaya sana
Mama mpe mwanao cheo juu zaidi hapo tra ili waone wivu zaidi hao wajinga wa tra
Hujui unacho andika bora Kaa kimya!!!Kwahiyo nlitaka mtoto wa raisi ateseke Kama ninyi mnavyoteseka, nyie mazwazwa kweli. Yani wewe hapo uwe rais afu mwanao afanye biashara afu wajinga waje wamzingue , hao wajinga hawajaona maduka mengine?. Kama babako hakufanikiwa kuwa rais tuliza kalio chini. Loh . Wivu tu.
Every era has adventure.... nakumbuka kontena za bwana bashiteAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Si zilipigwa mñada zile au?Every era has adventure.... nakumbuka kontena za bwana bashite
Je ingekuwa we ungefanyaje?Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Hata kama angekuwa wewe au mimi ingebidi tuwajibishwe..., issue sio fulani anafanya nini issue ni kama Sheria imevunjwa....,Je ingekuwa we ungefanyaje?
Goma peke yako mdauDawa yae ni ndogo, Kariakoo yote igome mpaka kieleweke, huu ni uhuni, wabara wananyanyasika vya kutosha