DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Ningeshangaa kama usingelitetea 😂😂😂😂😂wachache huwa wanajua wewe una tetea nini!
 
Daah Wabongo bhana mtu anajiuzia matairi yake mnaandika andika humu njoo Johannesburg uone watu wananunua makontena na makontena ya matairi ishu ya invoice unakutana nayo mpakani huko na SARS sio ndani huko ndani ni polisi kujua labda huu mzigo ni wizi au laa hivyo vikaratasi mnavyofatilia kwa box moja au mbili ni Umasikini tuu huo...ndio maana vitu vingi vipo bei juu na bandari tunayo hao wanaoweza kushusha hapo kwa usumbufu huo wanajiuzia bei yeyote..
Makampuni ya TV na mashine za kuoshea nguo kila mwezi wanashindana kutoa brand mpya ila bongo hivyo vitu bado ni hatari kwa sababu ya Ujinga huo au Microwave...
Wasiokua na bandari ndio wananufaika na bandari yetu ninyi kutwa na TRA yenu kudumaza matumizi ya vitu bora kwa Wananchi hakuna asietaka kulipa kodi punguzeni usumbufu ili hata wageni waache kwenda kununua bidhaa Nairobi Nchi iwe na mzunguko kama huko kwa wenzetu..
Umeuhaibisha ukoo wako kwa hii comment yako
 
Afadhali huyu ana biashara inayo eleweka!
Je angekuwa bilionea kama Uday Hussein Saddam au Saif Al Islam Gadaffi au Muhozi Kainerugaba Museven au mroho wa madaraka kama Captain Kongolo Mobutu?
Mtoto wa Rais wa TZ ambaye hazina yote ya nchi ni mali yake binafsi bado anauza matairi?
Tuna bahati watz
 
Kweli tunahitaji elimu kama wana-Jamii.....

Mfano kuna Kisima kikubwa cha maji ya kunywa.., kila mtu awezavyo anachangia kwa kujaza hicho Kisima kwa maji kutoka mtoni mwenye kisoda, debe, dumu na hata pipa wote wanajaza kisima kwa percent kadhaa kulingana na ukubwa wa chombo chao...

Sasa wakati wenye kisoda wanachangia nusu kisoda wengine wenye pipa hawachangii kitu au inavyotakakiwa; mbaya zaidi kila mtu ana mrija wa kunyonya maji haya ya kunywa kulingana na uchangiaji wake; hawa wenye pipa wao mirija yao ni mabomba wakati hawa wenye kisoda ni midogo mithili ya bomba la peni....

Alafu wanajamii hao hao wanatetea wenye pipa waendelee kunyonya maji bila kuchangia ipasavyo...., eti sababu wangekuwa na uwezo wa kuchukua mapipa hata ishirini (kwahio kuchukua kwao moja ni kama wametupa msaada)

Halafu tunashangaa kwanini hatufiki !!!!! TUNA MENTALITY MBOVU SANA.....
 
Sasa mkuu MBNA Inaonekana Kama Wew imekuuma Sana shida nn, Fanya kazi zako acha maisha ya watu utaishi vzuri mambo ya umbea umbea Achana nazo unadhan wahusika hawajui?
Kwahiyo asilipe Kodi? Mbona watanzania wapumbavu hivi!?? Unafaham madhara ya Kila mtu akikwepa kodi? Hili jukwaa la jforum limekuwa la kitoto sana
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Issue hapa ni kumlipa Kodi jamani !! Hivi mlisoma wapi wenzetu!?mbona vichwa vizito
 
Kwahiyo nlitaka mtoto wa raisi ateseke Kama ninyi mnavyoteseka, nyie mazwazwa kweli. Yani wewe hapo uwe rais afu mwanao afanye biashara afu wajinga waje wamzingue , hao wajinga hawajaona maduka mengine?. Kama babako hakufanikiwa kuwa rais tuliza kalio chini. Loh . Wivu tu.
 
Hujui unacho andika bora Kaa kimya!!!
 
Kwa jinsi nchi ilivyo ya kulindana hii,kesho utasikia TRA Tanzania wanakanusha hii habari ila kiuhalisia hii taarifa ingawa ina chumvi ndani yake lakini watu wengi pale kariakoo niliojaribu kuwacheck wanakiri kuifahamu,inasemekana imetokea week chache zilizopita.
Inasemekana kijana ni untouchable.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Every era has adventure.... nakumbuka kontena za bwana bashite
 
Je ingekuwa we ungefanyaje?
 
Je ingekuwa we ungefanyaje?
Hata kama angekuwa wewe au mimi ingebidi tuwajibishwe..., issue sio fulani anafanya nini issue ni kama Sheria imevunjwa....,

Hata kama sio kweli tumeaminishwa no one is above the Law... Hio ndio misingi inayoleta peace and harmony (kwamba hakuna anayeonewa)

Tatizo la Wapuuzi wachache kuvunja Sheria waziwazi inafanya kazi ya Watendaji kuwa ngumu sana..., sababu inaweza kutokea mgomo baridi kwamba fulani mbona hafanyi hivi....,

Mambo madogo madogo kama haya ambayo hayana hata umuhimu na ulazima impact yake inaweza kuwa mbaya zaidi....

'Justice should not only be done, but should manifestly and undoubtedly be seen to be done'
 
Mleta uzi una roho mbaya,,, yani mtoto wa rais anafanya kazi ya halali yenye kuonekana lkn bado mnaleta longolongo au mlitaka na yeye auze sembe labda apate miela mingi ili muongee vizuri,, au na yeye labda atiwe kwenye system kama walivyofanya viongozi wengi tu kuwaweka watoto wao kwenye serikali.. nimefurahi sana kusikia mtoto wa mama anauza matairi kariakoo,, hayo mengine nongwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom