DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Wewe ni mjinga, hao wanafanya hayo na wajinga kama nyie mnashangilia kisha mnakuja tena kulalamikia wazungu kwa umaskini wenu.

Mambo ya kipumbavu wanayofanya hawa ndio chanzo cha ccm kubaki kuhujumu uchaguzi kila siku kwa kuhofia yale yanayotokea Angola kwa sasa lakini siku hazigandi iko siku hakuna kiendacho juu ambacho hakitarudi chini.
 
Hana jipya hapo, siasa majitaka hazijaanza leo.
 
Mkuu 'MONSTER', kwa mstari wako wa kwanza katika bandiko lako hili umenikosea adabu kuliko ninavyoweza kueleza. Sijui ni sheatani gani aliekuingia akilini ukaamua kunidhalilisha kiasi hiki hapa.

Ninarudia tena, na kama hunielewi utakuwa unalo tatizo. Kutokana na tabia za kipumbavu walizonazo baadhi ya wananchi wa Tanzania, kiongozi aina ya Magufuli ndiye anayefaa kutawala hii nchi hadi wananchi wake watakapoingiwa na akili za kuelewa jinsi wanavyochezewa na hawa viongozi wa aina iliyopo sasa.

Ondoa mambo yale ya kishetani yaliyomhusu Magufuli, kiongozi huyo ndiye anayefaa kuitawala Tanzania kwa sasa hivi. Hao uliowataja hapo juu ni sehemu ya ushetani aliokuwa nao Magufuli.
 
Kwahiyo asilipe Kodi? Mbona watanzania wapumbavu hivi!?? Unafaham madhara ya Kila mtu akikwepa kodi? Hili jukwaa la jforum limekuwa la kitoto sana
Mkuu unavyochangia kama una uhakika na alioleta mleta mada huyo mtoto wa Rais amekwepa kodi tshs?
Au tumeshasahau Kuna wengine humu JF ni mada za majungu na kunifitinisha Serikali na Wananchi bila ushahidi wowote?
 
Jiangalie sana. Mambo yasiyokuhusu achana nayo maana naamini hauna ushahidi wa ulichokiandika
 
Kwa akili kama hizo kuna werevu kweli hapo?. Wazazi wako walipoteza ada. Kitu cha kujibu kwa hoja unapayuuukaa.
 
Hana jipya hapo, siasa majitaka hazijaanza leo.
Siasa za Majitaka.....
  • Samia ni Mdini (Bila evidence za kutosha au kwa kauli yake kuonyesha chuki ya Imani nyingine) hizo zitakuwa Siasa za Majitaka
  • Samia anapendelea watu wa Imani fulani (bila kuwa na evidence za kutosha na kuhakikisha wanaochaguliwa hawana merit zaidi ya imani yao au wanapotoka kuwa sawa na Samia (coincidence) hizo ni siasa za majitaka
Mtoto wa Rais Halipi Kodi
  • Inabidi achukuliwe hatua au Taasisi husika hazifanyi kazi yake; lakini vilevile makosa ya Mtoto hatuwezi kumuhukumu mzazi moja kwa moja huenda hajui (ila kama hajui na wengine wengi wanajua na yeye sikio lake lina habari za usalama wa Taifa huenda anapwaya kama Kiongozi
  • Au huenda mleta uzi ni muongo na anamsingizia hivyo tumuhukumu mleta uzi kwa uongo na sio ku-belittle kosa linalofanyika
Mtoto wa Rais anatumia Status yake Kuhujumu / Kukwamisha Taasisi kufanya kazi zake
  • That is worse sababu hapo ingawa makosa yake sio ya mama yake ila kutumia cheo cha mama yake kupindisha sheria hapo mama anakuwa implicated, na kama mleta uzi anajua kinachofanyika na Rais hajui; je tutaacha kujua mangapi ambayo yanaweza liangamiza taifa ?

Narudia tumuhukumu mleta uzi kwa uongo au uzushi na sio ku-belittle huu upuuzi
 
Picha
 
Kodi zenyewe zinaenda fanya upumbavu, bora mtu asilipe tu
Usalama wako hapo ulipo.jua kuna watu mipakan hawalal. Vyombo vipo macho hio mdio kaz ya kodi yako. Ili wewe mkuu upate kurelaax na kutwiti hapa jukwaa
.ova
 
Kodi zenyewe zinaenda fanya upumbavu, bora mtu asilipe tu
Usalama wako hapo ulipo.jua kuna watu mipakan hawalal. Vyombo vipo macho hio mdio kaz ya kodi yako. Ili wewe mkuu upate kurelaax na kutwiti hapa jukwaa
.ova
 
Hivi Tanzania hii na mimali iliyokuwepo angekuwa huyo si mtoto mwema angekaa kuuza tairi? Saa hizi si angekuwa godfather wa wawekezaji mabilionea.

Mleta nada ni mjinga mmoja aliyekosa cha kuandika, ni katika vibaraka wa sukuma gang.
Ndio hata mim nashangaa.tena wazanzibar hata sio watu wa kujikweza
Mim sa hiz ningekua chai nainywea dubai na investors.
 
Umeona watoto rais wa kwanza

Watoto wa Raisi wa kwanza
Tunawacheka sasa hivi wamefulia, hawana akili

Abdul ,Mama Samiha akiondoka Madarakani na thamani yako ndio itakua imefikia tamati, hawatakujali, hawatakusikiliza piga Hela ndio heshima yako ya baadae
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…