Hayo madudu yalifanyika aliyekua makamu wa Rais wa wakati huo akiwa wapi?Si tunayaona sasa nadudu yake, au wewe huyaoni? Ulikua unaelewa pesa za plea bargain zina akaunti china?
Ulikua unaelewa madudu ya midege iliyonunhliwa kwa sifa nyingi?
Huijuwi mamlaka ya Rais wa Tanzania ndio maana unaweza kuuliza hayo.Hayo madudu yalifanyika aliyekua makamu wa Rais wa wakati huo akiwa wapi?
Nakupenda Faiza wangu [emoji8][emoji8] uwe na siku njemaHuijuwi mamlaka ya Rais wa Tanzania ndio maana unaweza kuuliza hayo.
Kwa ufupi, Rais wa Tanzania ana mamlaka ndani ya Tanzania kuliko Rais wa USA ndani ya USA.
Nijibu swali,acha kunipa story za USA.Huijuwi mamlaka ya Rais wa Tanzania ndio maana unaweza kuuliza hayo.
Kwa ufupi, Rais wa Tanzania ana mamlaka ndani ya Tanzania kuliko Rais wa USA ndani ya USA.
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.L
Katumwa na mama yake, akale urefu wa kamba.
Wajiandae , siku hawako madarakani ni kuwafirisi hadi godoro za kulalia...majizi yako hivyo
jana nimeuarifu huyu kijana juu ya uzi huu ba amaniambia kumbe alishausomaAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Inatia mpaka kichefu chefuKoment ya hovyo 2023
Vipi alikujibu!?Nijibu swali,acha kunipa story za USA.
Kwa hiyo unakubaliana na mleta mada kuwa Rais wa sasa huwa anamsaidia mwanae kukwepa kodi kwa kutumia jina lake kwa sababu ya nguvu alizonazo?
Akatoa maoni gani?jana nimeuarifu huyu kijana juu ya uzi huu ba amaniambia kumbe alishausoma
Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
Nchi imeoza hii kupita kiasiAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Angekua mtoto wa Magufuli au wa mkristo ungeandika hivi?Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
TRA wamepata size yao, wanawaonea sana wasiyo na majina. wewe endelea na shughuli zakoAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu, hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti, ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukuwa na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekuwa akizifanya na anapokuwa anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama yake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Jina tu linamsaidia yeyote yule, bila kupigwa simu yoyote ile.Nijibu swali,acha kunipa story za USA.
Kwa hiyo unakubaliana na mleta mada kuwa Rais wa sasa huwa anamsaidia mwanae kukwepa kodi kwa kutumia jina lake kwa sababu ya nguvu alizonazo?
vyote vina mwisho, ila ajipange aiseeeAbdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.