DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Si tunayaona sasa nadudu yake, au wewe huyaoni? Ulikua unaelewa pesa za plea bargain zina akaunti china?

Ulikua unaelewa madudu ya midege iliyonunhliwa kwa sifa nyingi?
Hayo madudu yalifanyika aliyekua makamu wa Rais wa wakati huo akiwa wapi?
 
Huijuwi mamlaka ya Rais wa Tanzania ndio maana unaweza kuuliza hayo.

Kwa ufupi, Rais wa Tanzania ana mamlaka ndani ya Tanzania kuliko Rais wa USA ndani ya USA.
Nakupenda Faiza wangu [emoji8][emoji8] uwe na siku njema
 
Huijuwi mamlaka ya Rais wa Tanzania ndio maana unaweza kuuliza hayo.

Kwa ufupi, Rais wa Tanzania ana mamlaka ndani ya Tanzania kuliko Rais wa USA ndani ya USA.
Nijibu swali,acha kunipa story za USA.
Kwa hiyo unakubaliana na mleta mada kuwa Rais wa sasa huwa anamsaidia mwanae kukwepa kodi kwa kutumia jina lake kwa sababu ya nguvu alizonazo?
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.L
Katumwa na mama yake, akale urefu wa kamba.

Wajiandae , siku hawako madarakani ni kuwafirisi hadi godoro za kulalia...majizi yako hivyo
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
jana nimeuarifu huyu kijana juu ya uzi huu ba amaniambia kumbe alishausoma

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Nijibu swali,acha kunipa story za USA.
Kwa hiyo unakubaliana na mleta mada kuwa Rais wa sasa huwa anamsaidia mwanae kukwepa kodi kwa kutumia jina lake kwa sababu ya nguvu alizonazo?
Vipi alikujibu!?
 
Uzi umekaa kimajungu na kiumbeyambeya na hauna ushahidi kama story za vijiweni.Mkianza hayo kesho mtaanza kutuambia Kila asset hapa mjini ni ya kwake kama ilivyokuwa Kwa Ridhwani.Tukiongea ukweli sijaona mtumishi wa serikali anayeweza sumbuana na mtoto wa Rais huku akijua ni mtoto wa Rais.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Nchi imeoza hii kupita kiasi
 
kama ni maafisa wa TRA , acha wanyanyaswe..

Kama ananyanyasa raia na wananchi , hapo ndo siyo sawa..

LAKINI UZI BILA PICHA HAUNOGI
 
Mtoa mada kuwa makini..utalia siku si nyingi..nakumbuka ID yako ulikuwa unalialia upate kazi miaka ya nyuma..Bila Shaka ukapata..Sasa umesaau unawachokoza waliokupa kazi..
Huyo mtoto wa Rais angeweza kuwa hata boss wako lakini kaamuwa kupiga mishe Kama vijana wengine alafu TRA mnaanza mambo chokochoko..Tena nyie TRA mnaongoza kwa kutaka Rushwa kijana kawanyima Sasa mnaanza majungu..
 
Tatizo lenu mnakula urefu wa shamba la mtu
Biashara ya 1b kwa tathmini zenu na nyie mnataka cha juu 200m
ZENU?
 
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Angekua mtoto wa Magufuli au wa mkristo ungeandika hivi?
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu, hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti, ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukuwa na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekuwa akizifanya na anapokuwa anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama yake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
TRA wamepata size yao, wanawaonea sana wasiyo na majina. wewe endelea na shughuli zako
 
Nijibu swali,acha kunipa story za USA.
Kwa hiyo unakubaliana na mleta mada kuwa Rais wa sasa huwa anamsaidia mwanae kukwepa kodi kwa kutumia jina lake kwa sababu ya nguvu alizonazo?
Jina tu linamsaidia yeyote yule, bila kupigwa simu yoyote ile.

Hii mada ni uzushi na uongo mtupu, ni kwa wajinga jkama wewe ndiye watakaoiamini.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu, hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti, ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukuwa na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekuwa akizifanya na anapokuwa anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama yake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
vyote vina mwisho, ila ajipange aiseee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom