DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

DOKEZO Rais Samia, Mwanao Abdulhalim Amer adaiwa kuwapa tabu sana maofisa wa TRA kutekeleza majukumu yao Kariakoo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Status
Not open for further replies.
Yaani mtoto wa Rais anafanya biashara ya kimasikini ya kuuza matajiri na bado mnaletwa nongwa...
Mlitaka awe kama mtoto wa Museven ndo mridhike ?punguzeni nongwa .
Hapo kkoo wafanya biashara wote wanacheza michezo na watu wa TRA
Kweli mwafrika utamtoa vichakani lakini huwezi kuvitoa vichaka kwa mwafrika. Mbona unakuwa low namna hii? Au hujaelewa kilichoandikwa? Au wewe una maslahi unapata watu wanapokwepa kodi? Au wewe ni mkwepa kodi? Kila siku unalalamika hapa kumbe wewe ni walewale. Mtu anasema kuna mkwepa kodi wewe unaleta bla bla bla ambazo hazina uhusiano wowote! Kwa sababu mtoto wa Museveni anafanya uhalifu huko kwao basi hapa kwetu tuachie watu wafanya uhalifu?
 
Mtoto wa Rais hahitaji kuuza matajiri..kkoo..
Anaweza ongea na Rais akapewa kibali peke yake kuingiza matari halafu hizo kampuni zote zikanunua kwake Kwa jumla ....wala asifike kkoo...
Hata kuuza hiko kibali Kwa mhindi mmoja au mchina akapiga hela bila kufika kkooo
Ndio hadi awe na akili hizi sasa.
 
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.

Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekua tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.

Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukua na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.

Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekua akizifanya na anapokua anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama ake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.

Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.
Hao Maafisa wanazuga tu, wanashirikiana na huyo Kijana kupiga hela huku wakijifanya kulialia
 
Ukishakuwa kiongozi wa juu, hasa rais unabudi kuwaondoa wanafamilia kwenye biashara hasa hizi za Kariakoo. La sivyo watakuwa wanakuchafua kila kukicha. Hata mambo ambayo hawausiki moja kwa moja watakuwa wanausishwa ili kukichafua. Hii sio kwa Africa tu, hata nchi zilizo endelea.

Huyu anatakiwa kupewa majukumu mapya. Kama ya kubeba mikoba ya baba na kuwa msaidizi wake. Kama Miraji Kikwete.
 
Hivi Tanzania hii na mimali iliyokuwepo angekuwa huyo si mtoto mwema angekaa kuuza tairi? Saa hizi si angekuwa godfather wa wawekezaji mabilionea.

Mleta nada ni mjinga mmoja aliyekosa cha kuandika, ni katika vibaraka wa sukuma gang.
You don't get the Point...Issue sio kuuza tairi au kutokuuza Tairi issue ni kuuza hizo tairi ndivyo sivyo bila kufuata sheria jambo ambalo linaweza kupelekea wauza tairi wengine wasifuate sheria au kuona kwamba wanaonewa (sheria inawaangamiza) implication ambayo inapelekea wananchi (ambao ni wengi na ndio uti wa mgogo wa Taifa) kukosa imani na Uongozi jambo ambalo linaweza kuleta chaos....

Kama tunatumia mabilioni eti kufundisha watu umuhimu wa kulipa Kodi huoni upuuzi kama huu unaweza kufanya uwekezaji wote katika kutoa hii elimu kuwa ni upotezaji muda ?

Waliosema lead by example..., walimaanisha mambo kama haya....
 
Hakuna mitu kama hicho, mfumo wa tra una uwezo wa kutrace toka siku bidhaa inaingia nchini mpaka inapouzwa / isipouzwa siku ya mwisho.

Au huyo kijana hizo tairi anaziunda mwenyewe?

Huu ulioletwa hapa ni ujinga tu ambao wajinga tu watauamini.

Na kama tra ya leo mwaka 2023 haina mfumo huo basi wanaofanya kazi tra wote ni wala rushwa wanaofanya makusudi kutoutumia mfumo inavyopaswa. Tena wanapokwenda madukani wanadiwe kuwa ni wezi, wale kichapo.
 
Leo Sukuma Gang wamekuwa wabaya.!? Mapambio ya Magufuli mmeyasahau siku hizi!? Hii ni bonge la "U turn". Bendera fata upepo hii.
Si tunayaona sasa nadudu yake, au wewe huyaoni? Ulikua unaelewa pesa za plea bargain zina akaunti china?

Ulikua unaelewa madudu ya midege iliyonunhliwa kwa sifa nyingi?
 
Hakuna mitu kama hicho, mfumo wa tra una uwezo wa kutrace toka siku bidhaa inaibgia nchini moaka inapouzwa / isipouzwa siku ya mwisho.

Au huyo kijana hizo tairi anaziunda mwenyewe?

Huu ulioletwa hapa ni ujinga tu ambao wajinga tu watauamini.

Na kama tra ya leo mwaka 2023 haina mfumo huo basi wanaofanya kazi tra wote ni wslarushwa wanaofanya makusudi kutoutumia mfumo inavyopaswa. Tena wanapokwenda madukani wanadiwe kuwa ni wezi, wale kichapo.
Kwahio unachoamini Tanzania hii hakuna mtu anayekwepa Kodi kila kitu kinalipiwa ? Sijasema TRA inafanya kazi yake au wanaofanya kazi huko ni wasafi.., HAPANA.., Lakini haimaanishi sababu wao ni wachafu na mimi na wewe tuwe wachafu; Mbaya zaidi mtu wa karibu na Kiongozi anayetakiwa kuhakikisha na anatangaza usafi akishiriki kwenye uchafu inaleta picha mbaya sana (Hususan kwenye mambo haya ambayo image and credibility counts a lot); Huwezi kuwaambia wauza nyanya walipe Kodi wakati watu wako wa karibu wanajinasibu hawalipi (if that is truly the case)..

Kwahio hapa tungekuwa tunajenga kama tungemwambia mleta uzi aache uongo na sio kwamba kilichofanyika hata kama kimefanyika basi ni sawa kiendelee kufanyika (kula kwa urefu wa kamba)
 
Sasa mkuu MBNA Inaonekana Kama Wew imekuuma Sana shida nn, Fanya kazi zako acha maisha ya watu utaishi vzuri mambo ya umbea umbea Achana nazo unadhan wahusika hawajui?
Hapana acha ukuda na unafiki, sasa unataka watu wasiseme, je ingekuwa ni mtoto wa Mbowe au Lissu unafikiri hadithi ingekuwa ni hii hii si angeisha firisiwa hadi angekuwa anaokota makopo kwenye majalala.

Muda wa ccm kutawala hii nchi ulishapita wapo kwa muda wa kukopa tu. Watu wenye fikra za kipumbavu namna hii ndio wanakimbia nyuma ya mwenge. Bogus kabisa.
 
Kwahio unachoamini Tanzania hii hakuna mtu anayekwepa Kodi kila kitu kinalipiwa ? Sijasema TRA inafanya kazi yake au wanaofanya kazi huko ni wasafi.., HAPANA.., Lakini haimaanishi sababu wao ni wachafu na mimi na wewe tuwe wachafu; Mbaya zaidi mtu wa karibu na Kiongozi anayetakiwa kuhakikisha na anatangaza usafi akishiriki kwenye uchafu inaleta picha mbaya sana (Hususan kwenye mambo haya ambayo image and credibility counts a lot); Huwezi kuwaambia wauza nyanya walipe Kodi wakati watu wako wa karibu wanajinasibu hawalipi (if that is truly the case)..

Kwahio hapa tungekuwa tunajenga kama tungemwambia mleta uzi aache uongo na sio kwamba kilichofanyika hata kama kimefanyika basi ni sawa kiendelee kufanyika (kula kwa urefu wa kamba)
Kinachowashinda nini kumshitaki? Kama utasema wamepigiwa na boss wao, kwanini wasimshitaki na huyo boss wao anaewazuia kufanya kazi zao?

Wacheni gutter politics.
 
Wewe ni mshamba Sana ila hijijui tuuu
Utaniona mshamba sana ila wewe ndio mshamba zaidi
KwasababU kwa nchi yenu tanzania mimi binafsi nitawatetea sana wizi wa mali za umma ,rushwa kwenye taasisi zote na ukwepaji kodi wa aina yoyote

Kwasababu viongozi wenu wakubwa wanajua mifumo ya kiutawala haiwabani.

Leo hii hakuna sheria inayo mtaka Kum~ adhibu Rais,majaji,spika,mawaziri nk.

Halafu unataka nisiwatete wezi wingine?
 
Hapo mimi sijaelewa kitu kulingana na mleta mada. Ni kwamba kijana anauza hatoi risiti au? Kama mzigo wake umekamatwa na wamejua ulikotoka kwanin wasiende kumalizana na wachina ambao ndio wauzaji?
 
Mwacheni kijana wa maza afanye biashara yake kwa amani,hamjui mtoto wa rais naye ni rais?😅😅😅Tena hao Maafisa wanaomsumbua mtoto wa rais washushwe vyeo na kusimamishwa kazi mara moja,wasisumbue mtoto wa raisi bana ebohhh,kwani TRA si mali ya mama yake au hawajui hilo?😅😅😅my ribs this is Africa for you,na Hilo nalo mkalitazame 😅😅🏃🏃🏊🏄
 
Hapo sasa wamwachwe kijana wetu,ustaadh Safi afanye biashara yake kwa utulivu,wasimchafue mwenzetu huyu 😂 😂😂
Hakuna mitu kama hicho, mfumo wa tra una uwezo wa kutrace toka siku bidhaa inaingia nchini mpaka inapouzwa / isipouzwa siku ya mwisho.

Au huyo kijana hizo tairi anaziunda mwenyewe?

Huu ulioletwa hapa ni ujinga tu ambao wajinga tu watauamini.

Na kama tra ya leo mwaka 2023 haina mfumo huo basi wanaofanya kazi tra wote ni wala rushwa wanaofanya makusudi kutoutumia mfumo inavyopaswa. Tena wanapokwenda madukani wanadiwe kuwa ni wezi, wale kichapo.
 
Kinachowashinda nini kumshitaki? Kama utasema wamepigiwa na biss wao, kwanini wasimshitaki na huyo boss wao anaewazuia kufsnyanya kazi zao?

Wacheni gutter politics.
Yes wasimchafue mwenzetu katika Iman😅😅hili nalo wakalitazame haraka sana 😅😅😅🏃🏊
 
Ukisoma comment za watu wengi humu ni kwamba nchi hii watu tushazoea uvunjifu wa sheria kiasi kwamba as long as una cheo basi ni haki yako kufanya chochote. Halafu watu hawa hawa baadaye utasikia wanasifia kuheshimu sheria katika nchi za wenzetu. Afrika bwana.

Mimi narudia kusema, shida ya nchi hii sio katiba bali ni utayari wa kuheshimu hata hiyo katiba. Kama mawazo na fikra za wananchi wenyewe ndio kwamba mtoto wa raisi anaweza fanya chochote, au anaweza kupewa exclusive right ya kuagiza hata matairi, hata ije katiba mpya hakuna kitakachobadilika. TRA yenyewe ina mamlaka ya kukusanya kodi kutoka kwa wafanyabiashara ila simu moja tu inawazuia kufanya hivyo.
Ngoja kwanza kama mama yake anauwezo wa kufanya chochote nchii hii bila kuwajibiswa kwanini mtoto wake asiwe na uwezo huo?
 
Kinachowashinda nini kumshitaki? Kama utasema wamepigiwa na biss wao, kwanini wasimshitaki na huyo boss wao anaewazuia kufsnyanya kazi zao?

Wacheni gutter politics.
Hahhhh bibi foxy

Wanamuogopa boss wao. Na majaji watapangiwa kazi zingine za kufanya
 
Kinachowashinda nini kumshitaki? Kama utasema wamepigiwa na biss wao, kwanini wasimshitaki na huyo boss wao anaewazuia kufsnyanya kazi zao?

Wacheni gutter politics.
Naam huenda mleta uzi kwa kufanya kwake hivi ndio kuleta mashitaka yenyewe ili wahusika walifanyie kazi (Whistle Blower); Hivyo tusimshambulie kwa kufanya kazi yake ya uzalendo (kama kweli muhusika anafanya) unless tuna visibitisho kwamba hafanyi hivyo tumshambulie mleta uzi kwa uongo wake (ila sio kwa kuona wivu au kutokulipa kodi kwa mtoto wa rais ni sawa sababu angeweza kuiba zaidi kama watoto wa Museveni et al)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom