nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
No.. No! Ukifuatilia kwa makini mawaziri wanasiasa ndio wanafanya vizuri.. Fuatilia tangu tumepata uhuru. Prof. Mussa Assad yupo vizuri lakini sio kwenye position ya uwaziri.Hiyo Wizara inataka Mtu makini wa caliba ya Mussa Assad sio huyo Kada.
Kwahiyo unaona kuwa Mwigulu amefiti pale au una jina la Kada mwingine?.No.. No! Ukifuatilia kwa makini mawaziri wanasiasa ndio wanafanya vizuri.. Fuatilia tangu tumepata uhuru. Prof. Mussa Assad yupo vizuri lakini sio kwenye position ya uwaziri.
Hahahhahaa...! Mwacheni kwanza avute muda kidogo jamani, muda wa kuwa hajaharibu badoKwahiyo unaona kuwa Mwigulu amefiti pale au una jina la Kada mwingine?.
Tumuache huyo jamaa ambae alimshauri Raisi Magufuli azipuuze takwimu za Corona na kupelekea Wazee wetu kuteketea huyo Jamaa ni muharibifu sana,anajijali yeye binafsi abaki na Cheo huku wenzie wakiangamiaHahahhahaa...! Mwacheni kwanza avute muda kidogo jamani, muda wa kuwa hajaharibu bado
Ukisema ana roho ya mwendazake ndiyo unapigia debeKabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)
Jina mwigulu halikukosa kwa Kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa
Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama amekosea
Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.
Hana tofauti na waliomsurubisha Yesu, walimbebesha limsalaba zito huku wakimcheka.
Leo tunaona watu wanalalamikia maamuzi na kauli za Mwigulu.
MY TAKE
KATIKA MAWAZIRI WATAKAOMUHARIBIA RAIS WETU NO1 MWIGULU
HATUFAI, ANA ROHO YA MWENDAZAKE
Kwani roho ya mwendazake ni nzuri?Ukisema ana roho ya mwendazake ndiyo unapigia debe
RubbishKabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)
Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.
Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama amekosea.
Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.
Hana tofauti na waliomsurubisha Yesu, walimbebesha limsalaba zito huku wakimcheka.
Leo tunaona watu wanalalamikia maamuzi na kauli za Mwigulu.
MY TAKE:
KATIKA MAWAZIRI WATAKAOMUHARIBIA RAIS WETU NO1 MWIGULU HATUFAI, ANA ROHO YA MWENDAZAKE
Hivi wewe unachuki gani na Magufuli? Unawezaje kumtofautisha Magufuli na Mh. Samia ambaye ndiye alikuwa mshauri wake wa karibu ambapo kila kitu walipanga na kusimamia pamoja? Unafiki huu ni gharama kubwa sana. Unataka achague wataalam kwa maneno ya Insta, maneno yanayoandikwa na watu wasio na uelewa hata wa maisha yao wenyewe? You are not Serious.Kabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)
Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.
Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama amekosea.
Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.
Hana tofauti na waliomsurubisha Yesu, walimbebesha limsalaba zito huku wakimcheka.
Leo tunaona watu wanalalamikia maamuzi na kauli za Mwigulu.
MY TAKE:
KATIKA MAWAZIRI WATAKAOMUHARIBIA RAIS WETU NO1 MWIGULU HATUFAI, ANA ROHO YA MWENDAZAKE
Rubbish
Kwa hii bajeti sijui kama itamuacha salama naona mama anamlia timingKabla ya Rais mama hajagusa teuzi wapo baadhi yetu humu walileta nyuzi kutaka watu tuone katika viongozi wanaofaa kuteuliwa na Mama yetu (watakaomfaa)
Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.
Ghafla mama kamteua, kelele nyingi zikapigwa mitandaoni kuwa mama amekosea.
Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.
Hana tofauti na waliomsurubisha Yesu, walimbebesha limsalaba zito huku wakimcheka.
Leo tunaona watu wanalalamikia maamuzi na kauli za Mwigulu.
MY TAKE:
KATIKA MAWAZIRI WATAKAOMUHARIBIA RAIS WETU NO1 MWIGULU HATUFAI, ANA ROHO YA MWENDAZAKE
Una mawazo kama yangu. Assad ni mtu sahihi, sema tu hatujui kutumia rasilimali watu!Hiyo Wizara inataka Mtu makini wa caliba ya Mussa Assad sio huyo Kada.
Ni mtu sahihi tatizo ni nfumo wa uongizi inatakiwa kabla ya kua waziri awe mwanachama wa ccm jambo ambalo hata yeye mwenyewe Asasad awezi kukubaliUna mawazo kama yangu. Assad ni mtu sahihi, sema tu hatujui kutumia rasilimali watu!
Unajua sehemu yenye unyeti kama Wizara ya Afya haitaki upeleke MwanasiasaUna mawazo kama yangu. Assad ni mtu sahihi, sema tu hatujui kutumia rasilimali watu!
Mwingulu anafaa hata kuwa waziri wa mambo ya nje kwa maana jamaa anajua sana kujibu maswali ya papo kwa hapo kwa waandishi wa habari. Hana jazba, papara wala panic.Jina Mwigulu halikukosa kwa kila uzi ulitaka watu wawataje wasiofaa.