Rais Samia, Mwigulu hakufai. Watanzania wanamjua Kiongozi anayefaa

Mataga bana
 
Acha wivu....ati Mwiguru mjivuni, nani asiyejua Mwigiru ni mtu mkarimu na anasaidia wasiojiweza? Unajua Mwiguru kuwa anawalea na kuwasomesha watoto wengi sana wakati wewe hata sadaka Kanisani hutoi?
 
Hiyo Wizara inataka Mtu makini wa caliba ya Mussa Assad sio huyo Kada.
Si mumchukue ninyi Chadema asimamie ruzuku zenu vizuri? JPM aliishasema hataki watu ambao wakipewa madaraka nao wanajifanya "Mihimili". Assad is a bygone.
 
Kama kweli kuna mtu mwingine mhuvi mbobezi wa uchumi karne hii basi apewe huyo Mwigulu no hapana alikuwa royal utawala usio sheria
 
Si mumchukue ninyi Chadema asimamie ruzuku zenu vizuri? JPM aliishasema hataki watu ambao wakipewa madaraka nao wanajifanya "Mihimili". Assad is a bygone.
Kwa sababu aliivua Suruwali Serikali ya Mwendazake ndio umeteneza bifu?
 
Mwigulu yupo vizuri tatizo lake huko nyuma ilizidisha siasa lakini pia huwezi mlaumu manake mfumo wa nchi yetu uko hivo.mimi namwombea azidi kuwa Bora kwenye utendaji wake .Anajutuma Sana.Tumtakie kila la heri.
 
Hakuwa na lolote, bali mbinafsi na mpenda sifa kwa gharama maisha ya watu.

Mungu fundi
 
jisemee mwenyw
 
Mama hapo kakosea sana kumwachia Mwingulu Nchemba kwenye Baraza lake la Mawaziri hasa hasa Wizara nyeti ya fedha hata kama ni mtaalam wa mahesabu Mwigulu ni jipu.
 
Hahahhahaa...! Mwacheni kwanza avute muda kidogo jamani, muda wa kuwa hajaharibu bado
Avute muda wakati anapendekeza watanzania wapate shida ya mawasiliano? Hii kodi ya mawasiliano haijawahi tokea tangu 1961 na mbaya kuliko hiyo kodi tunayolipa inachotwa hovyo na watumishi wa wizara take
.Wakati wa pilikapilika za ugonjwa wa Rais wa awamu ya 5 zilichotwa nyingi mpaka Rais wa awamu ya 6 akaamuru ukaguzi wa dharura hazina ingawa hatukupewa mrejesho ,badala ya kuwa makini kwa yaliyotokea baada tu ya kuapishwa kazi ya kuchota tena kodi yetu hazina ikaendelea mpaka PM kaitisha kikao.
 
Kosa kubwa la Mwigulu no ujivuni, kutojali maisha ya watu.
[emoji736][emoji817][emoji817][emoji817]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
No.. No! Ukifuatilia kwa makini mawaziri wanasiasa ndio wanafanya vizuri.. Fuatilia tangu tumepata uhuru. Prof. Mussa Assad yupo vizuri lakini sio kwenye position ya uwaziri.
Wanasiasa ni waongo waongo sana,labda useme kwenye sector ya kupika data za uongo hapo sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…