Semahengere
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,186
- 1,966
mussa assad alikuwa anaula,kiherehere cha kuanza kubwabwaja baada ya mwendazake kuondoka kikamharibia.Hiyo Wizara inataka Mtu makini wa caliba ya Mussa Assad sio huyo Kada.
Mussa Assad harembi wala huwa haumiumi maneno,sio caliba ya Makada wenu ambao njaa inawasumbuamussa assad alikuwa anaula,kiherehere cha kuanza kubwabwaja baada ya mwendazake kuondoka kikamharibia.
sifa kuu ya mtu mchapakazi huwa halalamiki sana.
angekuwa harembi asingeufyata kipindi jpm yupo,mbona akihojiwa alikuwa hataki kuzungumzia hayo mpaka jamaa alipokufa!!!Mussa Assad harembi wala huwa haumiumi maneno,sio caliba ya Makada wenu ambao njaa inawasumbua
Alitumiwa Wasiojulikana akaambiwa atauwawa kama wenzake waliouwawa na kupotezwa kabisa na hilo jinamizi lililobaki mifupaangekuwa harembi asingeufyata kipindi jpm yupo,mbona akihojiwa alikuwa hataki kuzungumzia hayo mpaka jamaa alipokufa!!!
huyo jamaa ana roho mbaya na haiwezi kubadilika ndo maana alipopata ajali ya kumgonga Punda huko mtera baadhi ya watu akiwemo mimi walimsikitikia punda cha ajabu alipopona akamsifia Magu kwa kumponyaDaa..h..! Ila jamaa mbona saivi yupo safi tu. Msimhukumu kwa yaliyopita, awamubile inajulikana legacy yake jamani. Mwacheni aendeleze kazi.
mwanaharakati haogopi mikwara,ukiona hivyo ujue huyu alikuwa mzee wa fursa tu kama wewe.Alitumiwa Wasiojulikana akaambiwa atauwawa kama wenzake waliouwawa na kupotezwa kabisa na hilo jinamizi lililobaki mifupa
Hivi wewe unachuki gani na Magufuli? Unawezaje kumtofautisha Magufuli na Mh. Samia ambaye ndiye alikuwa mshauri wake wa karibu ambapo kila kitu walipanga na kusimamia pamoja? Unafiki huu ni gharama kubwa sana. Unataka achague wataalam kwa maneno ya Insta, maneno yanayoandikwa na watu wasio na uelewa hata wa maisha yao wenyewe? You are not Serious.
Kama una kampeni zako, zifanye bila kumshirkikisha Mh. Magufli ambaye amekuwa rais wa pekee na mwenye kuona mbali na ambaye dunia nzima wana mtamani.
Ni rais agani katika waliotangulia ambaye alifanya mambo makubwa na kurejesha heshima ya Serikali kwa muda mfupi namna hii hata katika tawala zao za miaka kumi kumi? Kama kuna matatizo ya wawtendaji wake, please ujue kwamba alijitahidi kudhibiti mengi. Na hata hivyo, upungufu wake usifute mema makubwa na zaidi ya nia yake safi aliyokuwa nayo kwa taifa. Ni kichaa pekee ndiye atamlinganisha Magufuli na Awamu ya nne.
Hiyo Wizara inataka Mtu makini wa caliba ya Mussa Assad sio huyo Kada.