Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Tawire mganga 😁Tawireee
Kwamba kuwashugghulikia Sisi Sukuma Gang, ni mpaka 2025??.Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Hawa Msoga Gang wajinga sana.Huu sasa ni upumbavu! Ni lini kifo kimeacha kazi yake?
Akifa mwingine sawa, akifa wa kwenu sio sawa? Jinga kabisa wewe
Hakika, yajayo ndio yanatakiwa Kuwafurahisha.Nchi gani ipo nyuma ya huyo Dorcas?
Janeth naye aseme nini?
Hii vita haikuisha 17-03-2021, pale ndo ilianza. SG is real na haipo kinyonge kaeni mkao wa kula, kwa BM tumetest mitambo kuona kama ipo sawa, yajayo ndo yenyewe jiandaeni.
YesKwamba yeye hakutakiwa kufa?
UehuMengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Nina mzigo wa kuni mbichi. Niutume uendelee kuchochea kiive?Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
KIfo hakina mwenyewe !! Zamu ya membe imefika baas, tusubiri zamu zetu!Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.
Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.