Rais Samia, Mzee Kinana mmemponza Bernard Membe!

Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.

Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Ni Covid inazunguka Sana Kama una immune ndogo mwilini jiangaliye Sana uwe unatumia limao, tangawizi etc. Africa ukifa lazima wachawi wawepo. Mbona JPM mlisema ni Covid wengine wakasema kapigwa na wenye uchu wa kukwapua mali za wananchi.
 
Wahi Karimjee kesho ukaage mzoga.
Usitumiye lugha ya dhihaka, huyo ni binadamu Kama babu zako na bibi zako waliotangulia mbele ya haki. Wote tutakufa kwa staili mbalimbali. Ni muda tu na wewe utakuwa mzoga. Tujifunze kuwa wanyenyekevu kwani wote tuko njia moja, ulipozaliwa siku zako zinaanza kupungua hivyo umebakiza siku chache Sana hazizidi siku 15,000. Watanzania wengi wanaishi siku 1-30,000 hapa duniani wewe zimebaki ngapi kiwango Cha juu kabisa.
Siku 365 Mara miaka 90 ambazo huwezi fikisha kwa hiyo maisha yako Ni =<> siku 32,000 hapa duniani ambazo ni ndogo sana.
Screenshot_20230514-083621.png
 
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.

Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Membe, Kikwete, Lowassa na wanamtandao wengine wamefanya madhambi mengi sana kuelekea ikulu 2005.

Its just a matter of time kila mtu atalipwa kwa namna na muda wake.
 
Nchi gani ipo nyuma ya huyo Dorcas?
Janeth naye aseme nini?
Hii vita haikuisha 17-03-2021, pale ndo ilianza. SG is real na haipo kinyonge kaeni mkao wa kula, kwa BM tumetest mitambo kuona kama ipo sawa, yajayo ndo yenyewe jiandaeni.
Naitunza hii meseji
 
Membe,Kikwete, Lowassa na wanamtandao wengine wamefanya madhambi mengi sana kuelekea ikulu 2005.

Its just a matter of time kila mtu atalipwa kwa namna na muda wake.
2005 alikuwa awe Salim A Salim hilo group including Rostam Azizi wakatunga uwongo kwamba Salim siyo mtanzania, na mengine mengi. Kweli nchi ilirudi nyuma sana 2005-2015 ni wastage ambayo nchi haiwezi recover.
 
Mengi yanazungumzwa. Mengi yanasemwa kuhusu kifo Cha Bernard Membe. Ukweli mchungu ni kwamba kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Membe kuwa mshauri wake Mkuu masuala ya usalama na mambo ya nje, na pia kumuandaa kuwa Mgombea mwenza 2025 imewaudhi Sukuma Gang. Bernard Kalimani, Mungu anakuona. Membe amekufa ila kampuni yake haijafa. 2025 siyo mbali.

Dorcas, Mrs Membe, kuwa na amani. Nchi iko nyuma Yako.
Ndo nini hii
 
Uchonganishi ni dhambi....
Uzushi wa aina hiyo ni dhambi....

Mpendwa wetu kamarada Membe ameumwa na BWANA amemtwaa....

Rest easy El Comandante B.C.Membe ,amen[emoji120]
 
Hakika, yajayo ndio yanatakiwa Kuwafurahisha .

Mbuyu wa Msoga ukianguka, Nitachinja Ng'ombe kituo Fulani Cha watoto yatima, tule, tusherekee.

Hawa wahuni Hawa, walimuondoa JPM.
[emoji849][emoji849][emoji849]
Daktari una conspiracy sana....

Kamarada Membe ametwaliwa na BWANA kama alivyotwaliwa na BWANA kipenzi chetu JPM...
 
Nchi gani ipo nyuma ya huyo Dorcas?
Janeth naye aseme nini?
Hii vita haikuisha 17-03-2021, pale ndo ilianza. SG is real na haipo kinyonge kaeni mkao wa kula, kwa BM tumetest mitambo kuona kama ipo sawa, yajayo ndo yenyewe jiandaeni.
Kumekuchaaaaaaaaa!!!!
 
Ukiunganisha dot, kuna baadhi ya vifo vina ulakini...
Waerevu wakidadavua wataelewa.
Je, ni kweli alibanwa na kifua akafa? Tujiulize.
Je, kila tunachoambiwa na viongozi wetu wapendwa na vyombo vya habari vina ukweli? Ama wanataka tuamini hivyo?
Toka nje ya box... Aliyesema siasa ni mchezo mchafu akukosea.
 
Kipenzi chetu kimeondoka kwa mipango ya Mungu Mwenyezi....uzushi ni dhambi....rest easy BCM[emoji120]
images%20(21).jpg
 
Kwamba kuwashugghulikia Sisi Sukuma Gang, ni mpaka 2025??.

Nchi yenu, Vyombo Dola Vyenu.

Si mlisema Wazuri Hawafi?.

Hamuwezi kumuondoa JPM, nyie Mbaki mnakula Mema ya Nchi.

Bado , Bado, Nchi hii akishaondoka wa Msoga, Uhuru huo umepatikana.
Mkuu kifo hupangwa na mungu , unajua kati ya wewe na yeye nani atakayetangulia ,
Mbona binadam tunajisahau namna hii

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom