Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi huyo mkuu ni wa kipindi cha futuhiKanda ya ziwa wana heraa wapitishe bakuri waichangie maana ni vituo pendwa huko ...kwa ushauri tu wabeba bakuli wawe ni wale waigizaji wa futui maana wana special love toka kwa wanakanda ya ziwa...alafu kuna yule dada anavaa ushungi alishawahi kutujibu vibaya sana kwenye function moja ivii ... yule akahudumie mume tu kama tabia zake ndio hizo 🤔
Anasomaga habari sanaYupi huyo mkuu ni wa kipindi cha futuhi
Aliwajibu nini 😁 mlichomuulizaAnasomaga habari sana
Kwa hela ipi? Kodi zetu au hela ya CCM?Kwa habari nilizonazo ni kwamba Kampuni ya Sahara Media inayomilikiwa na ANTHONY DIALLO iko katika kipindi kigumu kuelekea kufilisika au kupigwa mnada kutokana na madeni makubwa yanayo mkabili mmiliki wake hasa kutoka kwa wafanyakazi wake wa vituo vya Star TV, Radio Free Africa na KISS FM.
Wafanyakazi wa vituo hivyo wanadai malimbikizo ya mishahahara kuanzia miezi mitatu hadi mitano.
Baadhi ya wafanyakazi wameanza mgomo toka Jumapili kushinikiza kulipwa pesa zao na huku wakijipanga kumpeleka mahakamani mzee Diallo na kuiomba mahakama kupiga mnada kampuni ya Sahara ili kulipa madeni yao ambayo wamekuwa wakiyadai kwa muda mrefu sasa.
Ni wakati wa Rais Samia na CCM Kumsaidia mzee Diallo katika kipindi hiki kigumu anachopitia maana yeye ni mwanaccm mzalendo.
Na wasilisha kwaajili ya utekelezaji
Umaskini wa akili huo, yaani unafanya kazi sehemu unapata vipesa kidogo alafu unaendelea kuhisi utakuwepo hapo milele. Jiongezeni mkiwa huko kazini. Ndio nyie hhwa mnakufa kwa presha baada ya kustaafuMungu saidia kampuni isifirisike na irudi kwenye hali ya kawaida la sivyo familia nyingi zitapata tabu
Ni hakika mimi naumia sana niliipenda Star TV na redio zake jamani dahNasikitika sana, StarTv ndiyo kituo changu bora kabisa!
Wako njema sana vipindi vyao!Ni hakika mimi naumia sana niliipenda Star TV na redio zake jamani dah
Hiyo kazi aachiwe Millard Ayo tu, kwani laZima bhanaa?!Kwa habari nilizonazo ni kwamba Kampuni ya Sahara Media inayomilikiwa na ANTHONY DIALLO iko katika kipindi kigumu kuelekea kufilisika au kupigwa mnada kutokana na madeni makubwa yanayo mkabili mmiliki wake hasa kutoka kwa wafanyakazi wake wa vituo vya Star TV, Radio Free Africa na KISS FM.
Wafanyakazi wa vituo hivyo wanadai malimbikizo ya mishahahara kuanzia miezi mitatu hadi mitano.
Baadhi ya wafanyakazi wameanza mgomo toka Jumapili kushinikiza kulipwa pesa zao na huku wakijipanga kumpeleka mahakamani mzee Diallo na kuiomba mahakama kupiga mnada kampuni ya Sahara ili kulipa madeni yao ambayo wamekuwa wakiyadai kwa muda mrefu sasa.
Ni wakati wa Rais Samia na CCM Kumsaidia mzee Diallo katika kipindi hiki kigumu anachopitia maana yeye ni mwanaccm mzalendo.
Na wasilisha kwaajili ya utekelezaji
Unataka wamsaidie nini? kulipa madeni au Kampuni ifanye vizuri? Ningemshauri aiuze tu kampuni ili aangalie kitu kingine cha kufanya.Kwa habari nilizonazo ni kwamba Kampuni ya Sahara Media inayomilikiwa na ANTHONY DIALLO iko katika kipindi kigumu kuelekea kufilisika au kupigwa mnada kutokana na madeni makubwa yanayo mkabili mmiliki wake hasa kutoka kwa wafanyakazi wake wa vituo vya Star TV, Radio Free Africa na KISS FM.
Wafanyakazi wa vituo hivyo wanadai malimbikizo ya mishahahara kuanzia miezi mitatu hadi mitano.
Baadhi ya wafanyakazi wameanza mgomo toka Jumapili kushinikiza kulipwa pesa zao na huku wakijipanga kumpeleka mahakamani mzee Diallo na kuiomba mahakama kupiga mnada kampuni ya Sahara ili kulipa madeni yao ambayo wamekuwa wakiyadai kwa muda mrefu sasa.
Ni wakati wa Rais Samia na CCM Kumsaidia mzee Diallo katika kipindi hiki kigumu anachopitia maana yeye ni mwanaccm mzalendo.
Na wasilisha kwaajili ya utekelezaji
Yeye ndiye alijipendekeza, hakupewa tenda ya alichokuwa anakifanyaDunia haiko fair Star Tv mwaka 2015 walizunguka tanzania nzima kumnadi JPM kwa kurusha mikutano yake ya kampeni live kila sehemu,hawakumlipa hela zake
Ccm acheni dhuluma