Rais Samia na CCM msaidieni Anthony Diallo jahazi linazama

Yupi huyo mkuu ni wa kipindi cha futuhi
 
Kwa hela ipi? Kodi zetu au hela ya CCM?
 
Mungu saidia kampuni isifirisike na irudi kwenye hali ya kawaida la sivyo familia nyingi zitapata tabu
Umaskini wa akili huo, yaani unafanya kazi sehemu unapata vipesa kidogo alafu unaendelea kuhisi utakuwepo hapo milele. Jiongezeni mkiwa huko kazini. Ndio nyie hhwa mnakufa kwa presha baada ya kustaafu
 
Wanaozama ni Diallo tuu naona kila kukicha nyuzi zake tufanyeje sisi arudishe mpira kwa kipa kama wanavyofanya wengine...
 
Kuna mada niliandika juu ya huyu mzee lakini naona imefutwa na kama ni yeye kweli atubu. CCM imemfanyia mambo mazuri lakini kama ndiye bwana yule atubu.

Nitaandika tena nikipata muda
 
Wamsaidie tu kwakwe ni mwenzao,

kuna kipindi flan cha kampeni hiyo station ilibadilika ikawa ya CCM, wakajisahau kbs kuna wale wa upande mwingine,
 
Hiyo kazi aachiwe Millard Ayo tu, kwani laZima bhanaa?!
 
Unataka wamsaidie nini? kulipa madeni au Kampuni ifanye vizuri? Ningemshauri aiuze tu kampuni ili aangalie kitu kingine cha kufanya.
 
Dunia haiko fair Star Tv mwaka 2015 walizunguka tanzania nzima kumnadi JPM kwa kurusha mikutano yake ya kampeni live kila sehemu,hawakumlipa hela zake
Ccm acheni dhuluma
Yeye ndiye alijipendekeza, hakupewa tenda ya alichokuwa anakifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…