kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali .
Alisema huko ndani Chadema kunawaka moto wengi walichukulia labda ni kauli za vijembe vya kawaida katika siasa kumbe Raisi Samia ana kiona mbali jicho la mwewe, alishauona mgogoro huu na minyukano miezi mitaru nyuma na kweli yanatokea.
NIkisema mgogoro huu ni mgogoro kweli uchaguzi ukikamilika naiona chadema inayokwenda kuzaliwa upya,
............. chadema academia ......maana si kwa fukuza fukuza safisha mamluki wa lissu na mariah sarungi, waliojazana chadema na kukidumaza chama kugomea na kupinga mengi mazuri ya maendeleo.... tutegemee wale wote waliopinga hadharani utawala wa Mbowe ....
kufurushwa inajulikana Chadema hakuna demokrasia .....ile ni saccos ya ukoo wa mzee mtei .....
aliyeamua kumrithisha Mbowe kama msimamizi, hawawezi kukubali iporwe na Lissu au Mariah sarungi na genge lao kwa maslahi yao binafsi ya kuombea misaada huko ubelgiji .
Kwa kutaka kufanya maandamano yasiyo na tija kuichokoza serikali ili wapate nafasi ya kupiga hela kwa kuwatafutia watu vibali vya ukimbizi wa kisiasa.
CHADEMA kushneiii atike babujiiii!