Rais Samia na jicho la mwewe miezi mitatu nyuma alisema huko ndani kwao Chadema kunawaka moto haya sasa tunayashudia!

Wengi walielewa hata kabla yeye hajawaza hayo,hakuna jipya chini ya jua.
 
Uko sahihi kabisa.
Hii vita ya Zalenski (Lissu) dhidi ya Putin (Freeman) imedumu zaidi ya mwaka mmoja. Sasa imefikia kileleni na itahimishwa tarehe 21 January 2025 Trump atakapokuwa anaapishwa kuwa rais wa America. Sasa tunashuhudia mfululizwa wa makombora makali (advanced hypersonic blastic & cruise missiles) yakirushwa toka pande zote mbili etc. Tunashuhudia upande wa Zalenski unavyoteketea kwa moto na kubaki majivu. Hadi kufikia 21 January nchi yote ya Zalenski itakuwa jivu.

Zalenski anasaidiwa na nchi za NATO hususani Ubelgiji, European union na America. Putin anajitegemea kwa rasilimali zake. Pamoja na misaada anayopata kutoka kwa washirika wake, Zalenski ameshindwa kufua dafu mbele ya Putin.
 
SImulizi kali sana😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…