Ni mke wa mtu ujue, msiwe mnaleta mambo yenu, mnaangalia mabaya TU, sifieni kidogo basi.Mnakuwa kama shetani mshitaki wetu duh!Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
'Nobody is home ' nimecheka kama vile mazuri!!!Kiingereza chenyewe umekariri. Hahaaaa
Hiyo ni idiom. Huwezi kuelewa .Jifunze kiingereza kabla hujajifanya kukosoa.Na huwezi kuileta nusu inakuwa haileti maana.Sikulaumu tuition zipo nyingi kajiongeze.'Nobody is home ' nimecheka kama vile mazuri!!!
Sibishani na mbwa.Nabishana na mwenye mbwa.Yaani amedesa kutoka kwa Mabeberu, halafu anakuja kujimwambafai JF! 😁😁
Bora hata ya mbwa ambaye anaweza kujitegemea na kujitafutia! Ila siyo wewe chawa unaye mlamba miguu mwanamke, ili upate kuishi.Sibishani na mbwa.Nabishana na mwenye mbwa.
Nasema Uongo Ndugu ZanguNdio ukweli wenyewe
Wewe kunguni tu.Nguvu uliyonayo na iliyobaki ni ya kusukuma mavi .Nyinyi chawa dawa yenu ni hii moja tu. Tunawabinya hivyo vichwa vyenu kwa kutumia vidole, na mwisho wa siku mnaishia tu kutapika huu uvundo wenu.
Baada ya kushiba, umeamua uje kujamba jamba humu na mistari yako ya kukariri! Chawa ni viumbe wa kipuuzi sana.Wewe kunguni tu.Nguvu uliyonayo na iliyobaki ni ya kusukuma mavi .
Utabaki kulalama tu huna cha kufanya.Kibapara.
Du, mapema namna hii. Ndio kwanza mwaka unaanza PUMBA zinatawala JF. JF ni uwanja wa Fikra mpya, Fikra kubwa na ni mlango/dirisha la kutokea TZ. PUMBA si mahala pake hapa!Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Na sisi tunashangilia pesa zinapigwa haswaRais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Tena inaliwa na MzanzibarHela ya Tanzania inaliwa kibwege sana !
nimecheka sana duh
Rais Samia haruhusiwi kwenda kuaga kwao?
The lights are on but nobody is home.
Talk sense to a fool and he will call you foolish.
JF inaposogea kuwa META siku hadi siku.
Mada zisizo na kichwa wala miguu ndio 90% ya mada zote.
Nongwa za watanzania hazina tofauti na zile za waingereza, ni zile zile tu. Kwenda Zanzibar limekuwa kosa la kuandikiwa uzi!!.Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.