residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hao wazee mbona kama wale "shield - makers" wa kimwambao mwambao!!!??????Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Kinga ni bora kuliko tiba.
African science.