residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hao wazee mbona kama wale "shield - makers" wa kimwambao mwambao!!!??????Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Huko anapokwenda inakwenda kutafuta pesa kubwa zaidi. Huwa watu weusi hamna jema hata kidogo.Hela ya Tanzania inaliwa kibwege sana !
Sasa kama alimrejesha nduguye Zenji kisha ndiyo akaondoka huoni ametekeleza jukumu lake kama dada?Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Ujinga haujamuacha mjinga huru.Akili fupi kama ulivyo.Endelea kuuza pears huko Lushoto.Harakati zinataka akili.Jifunze kiswahili unalolijua wewe ni la nazi tu.Sasa si bora mimi ninaye kula kwa jasho kuliko wewe chawa unayeishi kwa kulamba miguu watu!!
Halafu hivi wewe ni Tui la nazi au ni machicha tu? Maana naona unanipotezea tu muda wangu kukujibu.
Huwa tunatumia sana nahau tunaopongea kuliko kuandika , nahau mara nyingi huambatana na gestures, sio kanuni bali ni kawaida .Hiyo ni idiom. Huwezi kuelewa .Jifunze kiingereza kabla hujajifanya kukosoa.Na huwezi kuileta nusu inakuwa haileti maana.Sikulaumu tuition zipo nyingi kajiongeze.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa Madini Wilaya ya Chunya limefanikiwa kukamata madini aina ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh milioni mia arobaini (140).Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Kwani hiyo Raisi wa Zanzibar ndio baba yake au mama yake. Kaenda Zanzibar kuaga familia yake shida iko wapi hapo?Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Nobody's home ndio nobody is home.Imefupishwa. Pia sio lazima uandike nobody is at home.Ndio maana ya Idiom . Nataraji umeelewa.Huwa tunatumia sana nahau tunaopongea kuliko kuandika , nahau mara nyingi huambatana na gestures, sio kanuni bali ni kawaida .
Ungekosa nn kwa mfano ungeandika nobody's home ? Au nobody is at home ?
Rais Samia haruhusiwi kwenda kuaga kwao?
The lights are on but nobody is home.
Talk sense to a fool and he will call you foolish.
JF inaposogea kuwa META siku hadi siku.
Mada zisizo na kichwa wala miguu ndio 90% ya mada zote.
mliangaika na 1.5T, lakini hakuna mahali mlidhibitisha imeliwaje...! ? Ha ha haaaa!
Wacha uzuzu.Kiswahili na Kiingereza ni lugha zinazokubalika JF.Na ilikuwa jibu kwa mtu sio kwako.Aliyejibiwa ameelewa.Weka uzwazwa wako kando we Mmakunduchi. Kwani ungechangia kwa kiswahili ungeonekana mpumbavu? Kwa iyo hapo we unaona ndo umechangia!?
Perdiem ni kiswahili?Toa boriti kwenye jicho lako kabla hujaona ubanzi kwenye jicho la mwenzako.Kinachoongelewa hapa sio 1.5T, ni huo mzunguko wa kuitafta safari ya Paris, unajua perdiem yake kila anapoweka mguu mkuu wa Nchi?
Je ni kweli kwamba ofisi ya raisi ina bajeti yake?Rais Samia leo jioni alitoka Dodoma na kuagwa na viongozi wa Kitaifa akielekea Ufaransa, taarifa ya Ikulu ilisema hivyo.
Kumbe alipaa na kwenda zake Zanzibar kuaga kwao, kisha ndio akapaa kuelekea Ufaransa.
Binafsi sijaona umuhimu wa Rais kwenda Zanzibar ilhali Rais wa Zanzibar nae alikuwepo Dodoma, hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu!
View attachment 2114128
Ati raisi kusafir ni matumizi mabaya ya kodi???Mbona jiwe alivyoenda kujenga kwao na kuteua wa kwao hamkutoka na kusema.....Tulieni dawa iwaingie.....Mwacheni mama afanye anachojua..mkitaka subirini na nyie mkipata nafasi mfanye vile mnaona ni sahihi, mbali na hapo MWACHENI MAMA