Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?Nashindwa kuelewa Rais samia anamuogopa Mwigulu mchemba,au wako pamoja katika mision zao au ni nyingi sana,
maana ukimsikiliza Mpina jinsi anavyolalamika halafu Rais kakaa kimya hachukui hatu yoyote tofauti na reaction iliyoichukua baada ya Gwajima kuliongelea swala la utekaji,nazani utagundua hii inchi ina tatizo kubwa sana,na kwa nini watu wanan'ga'ngania madaraka
Tunachojiuliza Rais samia hayaoni haya ya upigaji wa Mwigulu?mbona amekaa kimya,lakini juzi tu kuambia swala la utekaji kaja ju kama moto wa kifuuMpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?
Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Lile siyo bunge ni kikao cha ccmMpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?
Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Bunge lipi? Mbona mnajizima data humu ndani?Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?
Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Unaota wewe!.Yaani bunge hilihili lililobariki bandari zetu kupewa wajomba ndo limuwajibishe mwigulu!Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?
Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Bunge la nchi gan?Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?
Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Mpina si Mbunge, why hatumii Bunge kuwasilisha hoja na vielelezo vyake?
Unajua Bunge linaweza kumwajibisha Waziri na hata Raisi mwenyewe?
Inabidi wafanye hivo..Samia hana kibali ata akilazimisha hatoweza kutawala civil disobedience atakayoipata itakua sio ya kitoto.Nchi imemkataa anatakiwa aelewe hilo.CCM muwaze kwa kina sana..huyu mama mnaend kumpa wakat mgumu sanaCCM ingetumika busara mumsimamishe mgombea mwingine makini kwenye uchaguzi ujao wa Raisi.
Kiukweli Mama hakubaliki na hii itaipa nguvu kubwa sana upinzani kama ataendelea hadi 2030.