Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

Kama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia?

Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma na katavi zitafanywaje?

Aise nimelia baada ya kuiona pitch ya uwanja wa benjamini Mkapa .!!

Nimekumbuka kauli ya Magufuli kwamba Viongozi hata makaburi yenu yanatakiwa kuchwapwa viboko!!

Ukarabati wa billion zaidi ya 50 pesa yote imepigwa na kitumbo mavi na wakina Msigwa wapo wanaimba mapambie!!
Yaani unamsikiliza manaja analeta ucomedy anasema mashine za kunyonya maji zimekuja, juzi walituambia mashine za kutana nyasi zipo njiani. Ila kama uliitiza ile mechi ya juzi pitch bado haikuwa vizuri.
 
Kama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia?

Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma na katavi zitafanywaje?

Aise nimelia baada ya kuiona pitch ya uwanja wa benjamini Mkapa .!!

Nimekumbuka kauli ya Magufuli kwamba Viongozi hata makaburi yenu yanatakiwa kuchwapwa viboko!!

Ukarabati wa billion zaidi ya 50 pesa yote imepigwa na kitumbo mavi na wakina Msigwa wapo wanaimba mapambie!!
Daah hii nchi aisee
 
kiongozi alisema pichi ilikarabariwa lakini mechi iliyofuata baada ya ukarabati ilikuwa na presha sana ndiyo maana tukaona vile matobo matobo 🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo Msigwa ni muongo, sio mkweli.

Kuna habari kwamba serikali itanunua viti 20,000 badala ya 60,000,kwa nini? Wakati wa mashindano ya CAF ya vilabu ambayo simba ilishiriki, tuliambiwa CAF ilitoa bilioni 30 za ukarabati, na ukarabati wa sasa nasikia ni fedha kama hiyo imetolewa! 30+30 ni 60 bilioni

Why!?
Fyoko unamuuliiza nani wewe na CCM wenzio wote Wezi unamuuliza nani why humu? Msigwa na wenzie Mwana FA na Ndumbaro walitakiwa wawe Segerea muda huu sio Stendi Segerea Magereza Wezi wakubwa mnakula hela za Wananchi
 
Kama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia?

Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma na katavi zitafanywaje?

Aise nimelia baada ya kuiona pitch ya uwanja wa benjamini Mkapa .!!

Nimekumbuka kauli ya Magufuli kwamba Viongozi hata makaburi yenu yanatakiwa kuchwapwa viboko!!

Ukarabati wa billion zaidi ya 50 pesa yote imepigwa na kitumbo mavi na wakina Msigwa wapo wanaimba mapambie!!
Ili upaze sauti ni lazima kwanza uwajue waliogawana, vinginevyo utampigia kelele aliyetutunzia.
 
Bilioni Zaidi ya 30
Na naimani pale Zinaliwa zaidi ya 50
Tuliambiwa Vitafungwa Viti vya Kukunja
Maajabu Vinatolewa Mkojo vinawekwa Kinyesi!
Uwanja Umewekwa Tv na Kupakwa Mirangi Vyumba Kwisha Habari
 
Huyo mama tu kawatapeli watanganyika bandari na mbuga itakuwa uwanja?
 
Mle kidogo msipitilize, Maneno yenye uhaii ya Samia.

Shitthole country, ni balaaa tupu.
 
Yy pia ni sehemu ya wapigaji wa iyo PESA ndio maana awezi kuhoji. Bonge moja la Dalali uyo CHURA.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom