Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

Kodi ya Watanzania Mabilioni Kwa Mabilioni, Rais SAMIA na Chama chake CCM mliridhia kuzipeleka UWANJA WA TAIFA -BENJAMINI MKAPA

Hakuna ambaye hajona kilichopo , Licha ya mbwembwe na kelele nyingi za MAJIZI NA MAFISADI zikiachia viclip vyao kufuatia CAF Kufungia uwanja.

Ukweli umejulikana Wenyewe Mechi ya SIMBA .

Kweli kabisa RAIS SAMIA na CCM yako umeamua kua CHURA KIZIWI???

Mpaka Lini RAIS na CCM Mtaendelea kuwapuuza Wananchi ??.

Wizi Wizi Wizi , mnalindana Kwa kua ni Wizi Wizi Wizi Kila Mmoja hamna mwenye Unafuu.

SASA WANANCHI TUNASEMA, SAFARI HII, HAMNA KUSHIRIKI UCHAGUZI, NO REFORMS NO ELECTION.

Mapuuza mnayotufanyia Wananchi ni matokeo ya DOLA kuwasaidia kubakia madarakani, hivo mnaona KURA ya Mwananchi Haina Maana, Tunaenda kurudisha THAMANI YA KURA YA MWANANCHI.
 
Kodi ya Watanzania Mabilioni Kwa Mabilioni, Rais SAMIA na Chama chake CCM mliridhia kuzipeleka UWANJA WA TAIFA -BENJAMINI MKAPA .

acha upotoshaji,
hakuna wa kubabaika na uzushi wako gentleman 🐒
 
Imeisha hiyo
 
Tatizo Msigwa ni muongo, sio mkweli.

Kuna habari kwamba serikali itanunua viti 20,000 badala ya 60,000,kwa nini? Wakati wa mashindano ya CAF ya vilabu ambayo simba ilishiriki, tuliambiwa CAF ilitoa bilioni 30 za ukarabati, na ukarabati wa sasa nasikia ni fedha kama hiyo imetolewa! 30+30 ni 60 bilioni

Why!?
 
Mkuu gentleman Ina maana umeuona uwanja lakini ??!
By the way WEWE NI KAZI MAALUM hapa jukwaani.
Ila jaribu kufanya MEASUREMENTS & EVALUATION yaan ndio kusema tumeshindwa ku repair na kuutunza ule uwanja??

Gentleman siasa zetu za u CCM na UCHADEMA tuziweke kando naomba fanya analysis za ki LECTURER.
acha upotoshaji,
hakuna wa kubabaika na uzushi wako gentleman 🐒
 
Huyu mama kiukweli anaudhi sna But ukiwa mstaarabu kidogo I think ni kuona namna ambavyo anaweza kusaidiwa huyu mama. Ukweli ni kwamba wameshamzidi wajanja wa town
 
Mkuu gentleman Ina maana umeuona uwanja lakini ??!
By the way WEWE NI KAZI MAALUM hapa jukwaani.
Ila jaribu kufanya MEASUREMENTS & EVALUATION yaan ndio kusema tumeshindwa ku repair na kuutunza ule uwanja??

Gentleman siasa zetu za u CCM na UCHADEMA tuziweke kando naomba fanya analysis za ki LECTURER.
Gentleman,
mimi sina kazi maalumu ya mtu yeyote, nafanya haya kizalendo kwa maslahi mapana ya Taifa langu Tanzania.

Muungwana anapotosha na for sure anazusha.

Kazi bado inaendelea taifa, na haiwezi simama kwasabb ya upotoshaji wa vibaka wa chache wa kisiasa.

Ni muhimu zaid kua wastahimilivu na wenye subra kuliko kuropoka mambo ambayo hayana maana yoyote.

Rais,
ana kazi kubwa na nzito ya kuwatumikia wananchi na waTanzania, apewe nafasi na fursa ya kuongoza nchi na sio kumuhusisha na kazi maeneo mballimbali ambazo bado kukamilika bali zinaendelea.

huko ni kukosa adabu kwa mkuu wa nchi 🐒
 
Kodi ya Watanzania Mabilioni Kwa Mabilioni, Rais SAMIA na Chama chake CCM mliridhia kuzipeleka UWANJA WA TAIFA -BENJAMINI MKAPA .

Hakuna ambaye hajona kilichopo , Licha ya mbwembwe na kelele nyingi za MAJIZI NA MAFISADI zikiachia viclip vyao kufuatia CAF Kufungia uwanja.

Ukweli umejulikana Wenyewe Mechi ya SIMBA .

Kweli kabisa RAIS SAMIA na CCM yako umeamua kua CHURA KIZIWI???

Mpaka Lini RAIS na CCM Mtaendelea kuwapuuza Wananchi ??.

Wizi Wizi Wizi , mnalindana Kwa kua ni Wizi Wizi Wizi Kila Mmoja hamna mwenye Unafuu.

SASA WANANCHI TUNASEMA, SAFARI HII, HAMNA KUSHIRIKI UCHAGUZI, NO REFORMS NO ELECTION.

Mapuuza mnayotufanyia Wananchi ni matokeo ya DOLA kuwasaidia kubakia madarakani, hivo mnaona KURA ya Mwananchi Haina Maana, Tunaenda kurudisha THAMANI YA KURA YA MWANANCHI.
Sasa hivi kipaumbele chake ni kuhakikisha Lissu anapatikana na hatia ya uhaini ili anyongwe hadi afe, hilo likitimia ndiyo atashughulikia mengine, mwacheni kwanza atetee Urais wake kwa kumuondoa duniani hasimu wake, mpeni muda.
 
Gentleman,
mimi sina kazi maalumu ya mtu yeyote, nafanya haya kizalendo kwa maslahi mapana ya Taifa langu Tanzania.

Muungwana anapotosha na for sure anazusha.

Kazi bado inaendelea taifa, na haiwezi simama kwasabb ya upotoshaji wa vibaka wa chache wa kisiasa.

Ni muhimu zaid kua wastahimilivu na wenye subra kuliko kuropoka mambo ambayo hayana maana yoyote.

Rais,
ana kazi kubwa na nzito ya kuwatumikia wananchi na waTanzania, apewe nafasi na fursa ya kuongoza nchi na sio kumuhusisha na kazi maeneo mballimbali ambazo bado kukamilika zitaendelea.

huko ni kukosa adabu kwa mkuu wa nchi 🐒
Gentleman 😊 hajawai kukubali criticism....wanasema FEAR OF CRITICISM... PRINCIPAL OF POLITICS.
 
Hii ni kashfa, mwana FA kaingia uwaziri kwa mara ya kwanza na atachafuka kwa ufujaji huo wa fedha za ukarabati, itaonekana ameshindwa kazi pamoja na ujana wake. itaonekana kumbe hata vijana ukiwapa kazi nao ni wapigaji tu kama wazee
 
Gentleman 😊 hajawai kukubali criticism....wanasema FEAR OF CRITICISM... PRINCIPAL OF POLITICS.
gentleman,
I'm among family members of both constructive and deconstructive criticisms in all spheres of life, whether in politics, social issues as well as economic spheres.

I thank God kwamba I have answers on all questions about everything posed before me politically speaking 🐒
 
Halafu Kuna watu wanataka kupiga kura ule uwanja ni baweeeee kizaramo hata churwa hawezi kuogelea
 
kuna uwanja, wa Gen.Isamuhyo mbeleni, KMC, Azam complex na ule wa Airtel Studium wa Singida Black Stars pale Singida vitatumika,

usikue na wasiwasi gentleman
viwanja vya kutosha vipo Tz🐒
Kijambio tumemkataa hafai kuwa rais
 
gentleman,
I'm among family members of both constructive and deconstructive criticisms in all spheres of life, whether in politics, social issues as well as economic spheres.

I thank God kwamba I have answers on all questions about everything posed before me politically speaking 🐒
Gentleman 😊

Ukipata muda soma hii article Kuna madini sanaaa utajiongezea

""The politician of fear and the fear of politics""​

acha upotoshaji kivivu namna hiyo gentleman,

Lupaso iko kwenye ukarabati mkubwa,
na kazi nzuri sana inaendelea maeneo mengine ya uwanja huo,

eneo la pitch ni eneo la mwisho katika maboresho hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kukamilika mwanzoni mwa mwaka ujao.

ni muhimu ukamwambia na wenzako gentleman bila upotoshaji :NoGodNo:
Duuuu Yaani Wewe Uchawa Wako Umepitiliza Ndugu, Wewe Wa jinsia Gani? Kwenye Vitu Serious Acha kuingiza Usengerema Ndugu
 
Back
Top Bottom