Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

We faza unaboa km nyaa ya aliyekula mayai na maharage
siana haja ya kubabaika na hali anayojiskia mdau yeyote wa JF kulingana na ukweli kama huo,

, jukumu langu la muhimu na la maana zaidi ni kueleza umma ukweli mtupu dhidi ya upotoshaji wa baadhi ya wadau wanaotafuta kiki za kindezi.
,
na si unajua ukweli ulivyo mchungu na unavyoumiza moyo? vumila tu utazoea gentleman na makasiriko yako yataisha kabisa :NoGodNo:
 
ni project kubwa muhimu sana ya miaka mi3 gentleman :NoGodNo:
Not realistic, (lacking value for money),

You can fool some people all the time but not fool all the people all the time

Kwenye hili la uwanja sikuungi mkono mmetukera wengi, mmetumia Hela vibaya, (we are seeing rubbish with our naked eyes), bilioni 30 ni nyingi sana,

Tunao angalia mpira wote huwa tunaangali pitch, (uwanja),. Kwakuongozwa na mikamera

Mnashindwa kuwapumbaza watu kwa kuhakikisha uwanja, (pitch), hauteteleki kweli huu ni ujinga na upumbavu uliopitiliza
 
acha upotoshaji kivivu namna hiyo gentleman,

Lupaso iko kwenye ukarabati mkubwa,
na kazi nzuri sana inaendelea maeneo mengine ya uwanja huo,

eneo la pitch ni eneo la mwisho katika maboresho hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kukamilika mwanzoni mwa mwaka ujao.

ni muhimu ukamwambia na wenzako gentleman bila upotoshaji :NoGodNo:
Naona Msigwa umekuja kutetea
 
Kama tu pesa za ujenzi na ukarabati wa uwanja wa taifa zimeliwa anaweza kitu gani Samia kusimamia?

Kama hapa ambapo ni kilometer 10 tu kutoka magogoni pesa zinaliwa je pesa za miradi uko kigoma na katavi zitafanywaje?

Aise nimelia baada ya kuiona pitch ya uwanja wa benjamini Mkapa .!!

Nimekumbuka kauli ya Magufuli kwamba Viongozi hata makaburi yenu yanatakiwa kuchwapwa viboko!!

Ukarabati wa billion zaidi ya 50 pesa yote imepigwa na kitumbo mavi na wakina Msigwa wapo wanaimba mapambie!!
Afu utasikia Mwingine anaosha magari anatafuta ela ya kujenga Vyoo. Hivi Trillion 97 tunazodaiwa zilifanyia Nini haswa hio ela Hahahaha Nyingi sana kusema kwamba bado kunashule ya serekali haina Vyoo au kusema Kijiji flani hakina maji afu mchina amejaza Machine za kamari mjini na kodi serekali anakula LIFE WAS NEVER MEANT TO BE EASY ila Hii Life cycle tunaishi Tanzania Ni Comedy hata majirani zetu wote wanajua sisi ni masnitch tumepewa uhuru kwa maneno nani alisema uhuru unatolewa na maneno nikibanda cha Mkoloni hatumpi tunachotaka tunatoa anachotaka
 
Sisi Simba tunashukuru huu uwanja kuwa hivi leo kiukweli umetusaidia sana. Wanaokasirikia hali ya uwanja leo ni Yanga
 
Tangu 2023??
ndio kuna ucheleweshaji umetokea,sababu zingine ni za upande wetu kwa kila mara kuwaomba wakandarasi kusimama kazi ili mechi kadhaa zichezwe na zingi ni za ucheleweshaji wa vifaa kutokana na sababu mbalimbali lakini tuwe wavumilivu tu mambo yatakaa sawa
 
siana haja ya kubabaika na hali anayojiskia mdau yeyote wa JF kulingana na ukweli kama huo,

, jukumu langu la muhimu na la maana zaidi ni kueleza umma ukweli mtupu dhidi ya upotoshaji wa baadhi ya wadau wanaotafuta kiki za kindezi.
,
na si unajua ukweli ulivyo mchungu na unavyoumiza moyo? vumila tu utazoea gentleman na makasiriko yako yataisha kabisa :NoGodNo:
Nakubali bro tuikumbatie ccm yetu au unaonaje,🤗
 
ndio kuna ucheleweshaji umetokea,sababu zingine ni za upande wetu kwa kila mara kuwaomba wakandarasi kusimama kazi ili mechi kadhaa zichezwe na zingi ni za ucheleweshaji wa vifaa kutokana na sababu mbalimbali lakini tuwe wavumilivu tu mambo yatakaa sawa
Acha huo ujinga mara moja! Waliosababisha ucheleweshaji wamewajibishwa?
 
Back
Top Bottom