Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

Not realistic, (lacking value for money), you can not fool people all the time

Kwenye hili la uwanja sikuungi mkono mmetukera wengi, mmetumia Hela vibaya, (we are seeing rubbish with our naked eyes), bilioni 30 ni nyingi sana, wote huwa yunaangali pitch, (uwanja),

Mnashindwa kuwapumbaza watu kwa kuhakikisha uwanja, (pitch), hauteteleki kweli huu ni ujinga na upumbavu uliopitiliza
no my friend plz,
katika ujenzi au ukarabati wa uwanja wowote ule duniani, pitch hua ni kazi ya mwisho kabisa katika ujenzi huo,

kumbuka ukarabati huu unalenga afcon2027,
kwa kazi zinazoendelea maeneo tofauti na pitch , huenda kazi ya pitch inawenza kuanza mapema mwaka ujao.
Na hii haina maana kwamba wanja hautatumika pale unapohitajika kwa umuhimu wa kipekee.

ni vizuri sana kuwa wastahimilivu na wenye subra kwenye jambo hili my friends, ladies and gentleman :NoGodNo:
 
Huu uwanja haujengwi unakarabatiwa na watu ambao wameahirisha kufikiri, (wamejizima data)
 
Ukisikia mteule wa Rais anasema Mama mitano tena kuwa nae makini nyuma ya pazia kuna mengi🤣🤣
 
acha upotoshaji kivivu namna hiyo gentleman,

Lupaso iko kwenye ukarabati mkubwa,
na kazi nzuri sana inaendelea maeneo mengine ya uwanja huo,

eneo la pitch ni eneo la mwisho katika maboresho hayo makubwa ambayo yanatarajiwa kukamilika mwanzoni mwa mwaka ujao.

ni muhimu ukamwambia na wenzako gentleman bila upotoshaji :NoGodNo:
Yaani wewe umekaaa kama AI, sema ni ile AI iliyokaririshwa kutetea kila kitu cha Rais.
 
Wewe ni chawa mpuuzi sana!
 
Yaani wewe umekaaa kama AI, sema ni ile AI iliyokaririshwa kutetea kila kitu cha Rais.
sifahamu gentleman,
bat jukumu langu muhimu la kizalendo ni kusema ukweli kwenye mambo ya msingi tu :NoGodNo:
 
Huu uwanja haujengwi unakarabatiwa na watu ambao wameahirisha kufikiri
ndio,
unakarabatiwa kwa awamu,
na awamu ya mwisho ya ukarabati huo ni kwenye pitch, kazi ambayo inategemewa kuanza mapema mwaka ujao,

shida iko wapi hapo my friends, ladies and gentleman? :NoGodNo:
 
Aisee pitch ilikua mbovu mmno
 
Kwa yale yalionekana mechi ya Simba vs Al Masry, uuuuwiiiiiii wololo yaye, ni kwamba Bil. 30 imekwenda kama kindege cha Aviator..
 
Back
Top Bottom