Rais Samia, na pesa ya ukarabati Uwanja wa Taifa imepigwa we upo tu?

Yaani unamsikiliza manaja analeta ucomedy anasema mashine za kunyonya maji zimekuja, juzi walituambia mashine za kutana nyasi zipo njiani. Ila kama uliitiza ile mechi ya juzi pitch bado haikuwa vizuri.
 
Daah hii nchi aisee
 
kiongozi alisema pichi ilikarabariwa lakini mechi iliyofuata baada ya ukarabati ilikuwa na presha sana ndiyo maana tukaona vile matobo matobo 🤣🤣🤣🤣
 
Fyoko unamuuliiza nani wewe na CCM wenzio wote Wezi unamuuliza nani why humu? Msigwa na wenzie Mwana FA na Ndumbaro walitakiwa wawe Segerea muda huu sio Stendi Segerea Magereza Wezi wakubwa mnakula hela za Wananchi
 
Ili upaze sauti ni lazima kwanza uwajue waliogawana, vinginevyo utampigia kelele aliyetutunzia.
 
Bilioni Zaidi ya 30
Na naimani pale Zinaliwa zaidi ya 50
Tuliambiwa Vitafungwa Viti vya Kukunja
Maajabu Vinatolewa Mkojo vinawekwa Kinyesi!
Uwanja Umewekwa Tv na Kupakwa Mirangi Vyumba Kwisha Habari
 
Huyo mama tu kawatapeli watanganyika bandari na mbuga itakuwa uwanja?
 
Mle kidogo msipitilize, Maneno yenye uhaii ya Samia.

Shitthole country, ni balaaa tupu.
 
Yy pia ni sehemu ya wapigaji wa iyo PESA ndio maana awezi kuhoji. Bonge moja la Dalali uyo CHURA.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…